Braza..... natamani kujua zaidi kuhusu huyu komandoJapo Walimuua Lakini Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere ALIWALAUMU KULIKOTUKUKA Kwanini Walimtoa UHAI Kwani Kama Sijakosea Huyu Marehemu KOMANDOO TAMIMU Ndiyo Chachu Ya Watanzania Wengi ( Wanajeshi Wetu JWTZ / TPDF ) Kupewa KIPAUMBELE Na UMUHIMU Mkubwa Kwenda Kufanya KOZI Ya UKOMANDOO Kwa Wanaojua Nchini Cuba. Kazi Aliyoifanya TAMIMU Pale Uwanja Wa Ndege Wa Zamani Wakati Rais Fidel Armando Castro Alipotua Na Kumtaka Nyerere AMTAFUTE ASKARI WAKE ANAYEMWAMINI Ili Ampime Ndiyo Ilimfanya Marehemu Komandoo TAMIMU Akubalike Na Apendwe Na Mzee Castro Hadi AKAMWOMBA Nyerere AMPE Afande TAMIMU Tu Kwa MAKUBALIANO MAALUM. Kwa WALIOMJUA Afande KOMANDOO TAMIMU Huyu Jamaa ALIKUWA Ni Zaidi Ya Akina Carlos The Jackal Na Che Guavara Huku Akitaka Kumkaribia FIELD MARSHAL Mwenyewe Rais Mstaafu Wa Cuba Mzee Castro.