Mzee wa miaka 115 akamatwa na Polisi Uganda kwa Kumuua Mkewe aliyekuwa na miaka 105 kwa Kumnyima Unyumba aliokuwa na hamu nao kweli kweli

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,645
109,018
GENTAMYCINE nikiwaambia Mbunye ni Tamu na haina cha Komando wala Uzee ( Umri ) msiwe mnanibishia sawa?

Haya Mzee Dominick Baine wa huko nchini Uganda mwenye Umri wa miaka 115 aua Mkewe aliyekuwa na miaka 105 kwa Kumnyima Utamu ( Ngono ) baada ya Mke huyo ( ambaye wengi wetu hapa JamiiForums ni Bibi yetu ) kumwambia kuwa amechoka na anasikia Kizunguzungu na kwamba asubirie apone kisha atampa yote ila Babu yetu akaona Bibi anamchelewesha huku tayari Mlingoti wake ukiwa Umeshapata Ushirikiano wa Kujichomeka Kunakotakiwa.

Pitieni DW Swahili mpate za ndani.
 
Babu noma, angechukua sheria mkononi
 
Mbibi wa Tz miaka hiyo ni mzee mno
The ability to engage in sexual activity can vary among individuals, and age alone does not determine one's ability. Factors such as overall health, physical condition, and personal circumstances play significant roles.
I rest my case 🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom