Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 28,981
- 51,454
Wanajua kifuatacho itvMbona mawakili wa serikali hawana raha....huyo wa pili muda wote anajificha ficha sura
Wanajua kifuatacho itvMbona mawakili wa serikali hawana raha....huyo wa pili muda wote anajificha ficha sura
Link iko wapi?Mbona mawakili wa serikali hawana raha....huyo wa pili muda wote anajificha ficha sura
Mwisho wa siku huu upumbavu utafutwaLissu ni shujaa hata hili utashinda . Waendesha mashtaka kutumia kisingizio cha upelelezi haujakamilika ni kuchelewesha haki yake vinginevyo aachiwe huru.
Utupe Updates....sisi tumepiga Maombi hapa tunasali Dua na salaNipo Kisutu hapa
kwasababu ni muhalifu asije akahujumu nchiMbona huyu jamaa analindwa kuliko rais wa nchi?
Mungu ndio mtoa haki hashinikizwi na kelele za binadamuKila la kheri kwao
Wewe ndio hakimu?kwasababu ni muhalifu asije akahujumu nchi
ni kazi ngumu kuutetea uongo mchana kweupe mbele ya halaikiMbona mawakili wa serikali hawana raha....huyo wa pili muda wote anajificha ficha sura
ndiye raisi mtarajiwaMbona huyu jamaa analindwa kuliko rais wa nchi?
Amina🙏🙏🙏Tunamshukuru Mungu hata katika haya magumu wanayotutendea watawala mawakala wa shetani. Kama Mungu wetu wa haki amependa ukombozi wa Taifa upitie njia hii, tutaendelea kumshukuru, maana tumeaswa kuwa tushukuru kwa kila jambo.
Labda Mungu ametaka kabla ya ukombozi, awaoneshe wananchi wote ili wapate kujua walikuwawanatawaliwa na mashetani ya kiwango kikubwa.
Anayeitafuta haki ni mtumishi wa Mungu, anayedhulumu haki ni mtumishi wa shetani.
Tukatae Samialization, maana samialization ni kuishi katika ushetani wa kudhulumu haki za binadamu.
Mungu wetu, tunaomba neema za pekee kwaajili ya mtumishi wako Tundu Lisu, na laana kuu kwaajili ya waumini wa samialization.
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.
Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?
Wacha tuone nini kitajiri.
====================================
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi za jinai zinazomkabili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.
Lissu ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa International Democrat Union (IDU) anakabiliwa na kesi mbili mbele ya Mahakimu wawili tofauti.
Makama Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alivyotinga kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
View attachment 3353289Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoCHADEMA. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
Godbless Lema awasili ndani ya chumba cha Mahakama, ulinzi waimarishwa.
Ulinzi mkali umetawala katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
View attachment 3353285
Askofu Mwamakula akiongoza maombi ndani ya chumba cha Mahakama
View attachment 3353267
Nenda YouTube. Millard Ayo Yuko live kupitia YouTube channel yake @MillardTV. Na kwenye runinga za kawaida ITV wanairusha MubasharaLink Ipo wapi tuangalie hiyo live waliyotuahidi?
Yeyote mwenye link tafadhari ashee nasi
Zinaitwa hype, ila kwa watu tunaofaham usalama si lazima. huku US mfungwa haletwi mahakamani na rundo la watu
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.
Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?
Wacha tuone nini kitajiri.
====================================
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi za jinai zinazomkabili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.
Lissu ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa International Democrat Union (IDU) anakabiliwa na kesi mbili mbele ya Mahakimu wawili tofauti.
Makama Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alivyotinga kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
View attachment 3353289Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoCHADEMA. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
Godbless Lema awasili ndani ya chumba cha Mahakama, ulinzi waimarishwa.
Ulinzi mkali umetawala katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
View attachment 3353285
Askofu Mwamakula akiongoza maombi ndani ya chumba cha Mahakama
View attachment 3353267
Nchi ingekuwa imekombolewa wewe usingeishia kuwa chawa tuUkombozi gani unaouzungumzia ndugu? nchi ilishakombolewa na Mwl Nyerere hii. Samia mitano tena! hutaki hamia Kongo