PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Pia elewe Watanzania wangapi wana ''afford'' live streaming! Kwa takwimu hizo hizo baada ya wiki 1 utaona eneo linalorekodi kama You Tube inaweza kupita 100K unaosema.

JokaKuu
According to the latest report by Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), as of December 2024, there were 25.4 million smartphone users, equivalent to 35.9 per cent, up from 33.8 per cent as recorded in September last year. Hii ni ya 2025.

Katika watu 25.4 million ni watu 50,000 tu ndio walio bother ku tune in. Ukweli ni kuwa watanzania would rather tune in to Mange au derby kuliko anything political. Those statistics were ridiculous and should not have been brought up. Hata wakifika 500,000 itakuwa bado ridiculous, especially considering your claim that you have millions of members in Tanzania. They should be a wake up call lakini kama kawaida yenu, kila kitu ni kosa la wengine na sio lenu. Sasa hivi watu wenu wanatakiwa kuwa wanapitia hizo figures na kuangalia namna gani ya kuzipandisha. Lakini no, mko hapa mnatafuta sababu tuu za kuonekana kuwa nyie ni victims of a grand conspiracy. You are your own worst enemy. Na mkimaliza kuwalaumu Chaumma na kuona hamna kinachobadilika mtageukiana wenyewe kutafuta so-alled wasaliti!

Amandla...
 
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.

Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?

Wacha tuone nini kitajiri.

====================================

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi za jinai zinazomkabili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.

Lissu ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa International Democrat Union (IDU) anakabiliwa na kesi mbili mbele ya Mahakimu wawili tofauti.

Makama Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alivyotinga kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoCHADEMA. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu

Godbless Lema awasili ndani ya chumba cha Mahakama, ulinzi waimarishwa.

Ulinzi mkali umetawala katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
View attachment 3353285
Askofu Mwamakula akiongoza maombi ndani ya chumba cha Mahakama

View attachment 3353365
Dakika 11 za wakili Peter Kibatala akijibu hoja za mawakili wa serikali waliosema lissu ametukana ndani ya mahakama kwa kusema 'No reforms No election'

==========================================

Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Juni 16, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mahakama imempa onyo kali kwa kutamka kauli ya "No reform, no election" bila ruhusa akiwa ukumbini, ikitafsiriwa kama dharau kwa Mahakama.

Lissu anadaiwa kutoa maneno ya uchochezi Aprili 3, 2025 jijini Dar es Salaam, akihamasisha kuzuia Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kumshinikiza kiongozi wa serikali.

Matumizi mabaya ya Kodi zetu.

Ulinzi wote kumlinda mtu mmoja anaumuhimu Gani?

Hizo fedha za posho za hao walinzi Hadi kesi itakapoisha ingetosha kujenga chumba Cha darasaa
 
According to the latest report by Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), as of December 2024, there were 25.4 million smartphone users, equivalent to 35.9 per cent, up from 33.8 per cent as recorded in September last year. Hii ni ya 2025.
Tofautisha kuwa na smartphone na kutumia smatphone. Uki itumia kwa wiki katika mwezi unapoweka bundle unahesabika una smartphone. Kwani ni mara ngapi unasikia ''nilizima data''Namba hazitoshi bila analysis. Pili, kuna wenye smartphone 2 au 3, kusema watu milioni 25 unahitaji kujiridhisha.
Katika watu 25.4 million ni watu 50,000 tu ndio walio bother ku tune in. Ukweli ni kuwa watanzania would rather tune in to Mange au derby kuliko anything political.
Kwahiyo unamlaumu nani kwa hali hiyo!
Hata wakifika 500,000 itakuwa bado ridiculous, especially considering your claim that you have millions of members in Tanzania.
CCM wana milioni 13 kwa mujibu wa mwenyekiti , wangapi wali tune kufuatilia Mkutano Mkuu ?
Hoja yangu si kulinganisha Chama na Chama, nataka uelewe ''political landscape' ya Tanzania
They should be a wake up call. Sasa hivi watu wenu wanatakiwa kuwa wanapitia hizo figures na kuangalia namna gani ya kuzipandisha.. You are your own worst enemy.
Amandla...
Unashindwa kuelewa ''political landscape'' ya Tanzania. Huwezi kulazimisha watu ku stream! ni suala la uchumi. Si uliwahi kumsikia Mh Lema akisema '' Anaomba Mungu vilabu vya Simba na Yanga vife kwasababu vimefanya watu wasijatambue'' . Unachosema mbona kinajulikana, Watanzania wata angalia ugomvi wa kuku kuchi , siasa wanakuambia si yao. Unategemea milioni 60 upate kama 30M! fikiria tena

Umeshindwa kuelewa tofauti ya '' Quantitative observation vs Qualitative observation''.
Namba unazoweka na hoja zako ni ''quantitatively''. Ukiangalia '' Qualitatively'' kesi ya Tundu Lissu inafuatiliwa na Watu makini ndani na nje ya Nchi ikiwemo vyombo vya habari vya Kimataifa.

Kesi ya TAL inaitwa ''Landmark case'' kwasababu inaweza ku set precedent katika uendeshaji wa siasa za Nchi. Inaweza kufanyia marejeo na kesi zingine katika ukanda wa Afrika mashariki.
FYI kuna kesi moja alihukumu Jaji Lugakingira kwasasa inafanyiwa Marejeo US na Ulaya.

Tatizo ninalo liona kwako ni kuongozwa na ''emotion na prejudice'' kwamba humpendi TAL automatic hupendi chama chake na kesi yake , hili linakuitia upofu wa kuto ona facts zilizo wazi.

JokaKuu Kalamu
 
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.

Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?

Wacha tuone nini kitajiri.

====================================

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi za jinai zinazomkabili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.

Lissu ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa International Democrat Union (IDU) anakabiliwa na kesi mbili mbele ya Mahakimu wawili tofauti.

Makama Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alivyotinga kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoCHADEMA. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu

Godbless Lema awasili ndani ya chumba cha Mahakama, ulinzi waimarishwa.

Ulinzi mkali umetawala katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
View attachment 3353285
Askofu Mwamakula akiongoza maombi ndani ya chumba cha Mahakama

View attachment 3353365
Dakika 11 za wakili Peter Kibatala akijibu hoja za mawakili wa serikali waliosema lissu ametukana ndani ya mahakama kwa kusema 'No reforms No election'

==========================================

Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Juni 16, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mahakama imempa onyo kali kwa kutamka kauli ya "No reform, no election" bila ruhusa akiwa ukumbini, ikitafsiriwa kama dharau kwa Mahakama.

Lissu anadaiwa kutoa maneno ya uchochezi Aprili 3, 2025 jijini Dar es Salaam, akihamasisha kuzuia Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kumshinikiza kiongozi wa serikali.

Hakika tunaongozwa na matako! Haya maigizo ya nini? Yaani maaskari utafikri kweli wamemkamata Osama bin Laden!
 
Tofautisha kuwa na smartphone na kutumia smatphone. Uki itumia kwa wiki katika mwezi unapoweka bundle unahesabika una smartphone. Kwani ni mara ngapi unasikia ''nilizima data''Namba hazitoshi bila analysis. Pili, kuna wenye smartphone 2 au 3, kusema watu milioni 25 unahitaji kujiridhisha.
Ndio katika watu milioni 25.4 wenye uwezo wa kununua bando ni 50,000? Tuseme sio tu wana 2 au 3, kuna nyingine zimeibiwa etc. still watu 50,000 sio kitu cha kujisifia.
Kwahiyo unamlaumu nani kwa hali hiyo!

CCM wana milioni 13 kwa mujibu wa mwenyekiti , wangapi wali tune kufuatilia Mkutano Mkuu ?
Hoja yangu si kulinganisha Chama na Chama, nataka uelewe ''political landscape' ya Tanzania
Hatuzungumzii CCM hapa. Usichanganye mambo.
Unashindwa kuelewa ''political landscape'' ya Tanzania. Huwezi kulazimisha watu ku stream! ni suala la uchumi. Si uliwahi kumsikia Mh Lema akisema '' Anaomba Mungu vilabu vya Simba na Yanga vife kwasababu vimefanya watu wasijatambue'' . Unachosema mbona kinajulikana, Watanzania wata angalia ugomvi wa kuku kuchi , siasa wanakuambia si yao. Unategemea milioni 60 upate kama 30M! fikiria tena
Hauwezi kusema kuwa ni suala la uchumi halafu hapo hapo unawalaumu kuwa wanafuatilia mno mambo ya mpira! Badala ya kumuomba Mungu ni wajibu wa wana siasa kujaribu kubadilisha hiyo attitude. Hasa wale wanaojidai kuwa ni revolutionaries. Kama hiyo interest haipo, utaamini vipi kuwa watakuwa tayari kujitoa ili uchaguzi usifanyike? Hiyo ndio argument ya watu kama G55 kuwa Watanzania wa sasa hawako tayari kujitoa mhanga kupigania haki zao za kikatiba. Hao G55 ni wanasiasa ambao wako on the ground na ni wapiganaji wa miaka mingi. Sio keyboard warriors kama sisi wengine.
Umeshindwa kuelewa tofauti ya '' Quantitative observation vs Qualitative observation''.
Namba unazoweka na hoja zako ni ''quantitatively''. Ukiangalia '' Qualitatively'' kesi ya Tundu Lissu inafuatiliwa na Watu makini ndani na nje ya Nchi ikiwemo vyombo vya habari vya Kimataifa.
Kwa hiyo kwa sababu Mahakamani wanajaa wazungu na wasomi basi atashinda kesi yake? Jana usiku wafuasi wa charlatan Gwajima wamekimbilia kuwa nae katika wakati huu mgumu kwake. Hao elites unao waita quality people wataweza kufanya kama hawa watu wa kawaida wa Gwajima?
Mimi nasoma sana media za nje na tofauti na unavyosema, ufuatiliaji wa ishu ya TAL ni ndogo sana. Macho yote yako Gaza, Ukraine, Poland, Tariffs za Trump n.k. TAL sio priority.
Kesi ya TAL inaitwa ''Landmark case'' kwasababu inaweza ku set precedent katika uendeshaji wa siasa za Nchi. Inaweza kufanyia marejeo na kesi zingine katika ukanda wa Afrika mashariki.
FYI kuna kesi moja alihukumu Jaji Lugakingira kwasasa inafanyiwa Marejeo US na Ulaya.
Landmark kwenu nyie. Sio wa kwanza katika Afrika Mashariki kubambikiwa kesi. Mbowe alikaa ndani kwa zaidi ya miezi 6 kwa kesi kama hiyo na hamna kilichobadilika. Kwa mtu ambae unaezungumzia Qualitative observation ni lazima unajua kuwa bila kutaja hiyo kesi ya Lugakingira, ulichosema kinabakia kuwa ni figment of your imagination. Ni mfano wa yale yale ya Goebbels, kuwa uongo ukiurudia mara nyingi za kutosha unakuwa ukweli.
Tatizo ninalo liona kwako ni kuongozwa na ''emotion na prejudice'' kwamba humpendi TAL automatic hupendi chama chake na kesi yake , hili linakuitia upofu wa kuto ona facts zilizo wazi.

JokaKuu Kalamu
Hakuna ulazima wa kumpenda mtu yeyote. Mimi namhukumu TAL kwa matendo na maneno yake na si kingine. Mimi na wenzangu tulimuamini mpaka pale alipotuonyesha kuwa yeye na wenzake sio wale tuliowadhania. Tatizo la watu kama nyinyi ni kuwa mmemuweka kwenye pedestal kiasi kuwa hamtaki kusikia any criticism juu yake. Kila kitu mnaona kuwa ni personal attack na hivyo ni wajibu wenu kumtetea hata kwa silly arguments.

Huo upofu ndio unaowafanya muwa underestimate CCM na kuwadharau watu kama Kigaila. Hivi mnadhani kuwa waliomkamata TAL na Mbowe kabla yake hajui how flimsy their case is? Ile yote ni power play kuwakumbusha nani ameshika dola. Hawana nia ya kumnyonga na wakitosheka watamuachia.

Kitu kingine ni kuwa wanatumia kesi hii kupima depth ya real support ambayo yeye na agenda yake ya NRNE wanayo. Sadly, watanzania watamuacha solemba kama ambavyo walimuacha Mbowe aandame peke yake kupinga utekaji na upoteaji wa watanzania.

Shida yenu ni kuwa mko kwenye cult, na hamsikii lolote juu ya great leader wenu. Kinachosikitisha kuwa angeweza ku achieve mengi pengine kuliko mwana siasa yeyote lakini pride ego na vindictiveness vitamzuia. Kaka yake alimshauri awe magnanimous katika victory hakumsikia. Hawezi kukwepa lawama kwenye hili. Na uchawa wenu does him no favors.

CCM kwenye hili wamewazidi kete. Mnapaswa kujipanga upya na kutumia good will kubwa mliokuwa nayo kwa ajili ya next phase ya mpambano. Mnatakiwa mtambuwe kuwa Chaumma, na ACT Wazalendo si maadui wenu. Mkishirikiana kwa heshima mtakuwa katika nafasi nzuri sana ya kuinyang'anya CCM dola.

Amandla...
 
utaamini vipi kuwa watakuwa tayari kujitoa ili uchaguzi usifanyike? Hiyo ndio argument ya watu kama G55 kuwa Watanzania wa sasa hawako tayari kujitoa mhanga kupigania haki zao za kikatiba.
OK suluhu ya G55 ni kuingis uchaguzi! Wakiamini Watanzania hao hao watawapigania katika vituo!
Hao G55 ni wanasiasa ambao wako on the ground na ni wapiganaji wa miaka mingi. Sio keyboard warriors kama sisi wengine.
G55 ni njaa tu si wanasiasa. Mrema hiyo ni kazi yake. Kigaila na Salumu wake zao ni Wabunge wa ''CCM'' waume zao wakifanya usanii wa kubeba mafaili mahakamani. Please kuna wanasiasa si akina Kigaila! my foot!
Kwa hiyo kwa sababu Mahakamani wanajaa wazungu na wasomi basi atashinda kesi yake?
Hapana! qualitative haina maana ya kushinda! ina maana nyingine tofauti
Hakuna ulazima wa kumpenda mtu yeyote. Mimi namhukumu TAL kwa matendo na maneno yake na si kingine. Mimi na wenzangu tulimuamini mpaka pale alipotuonyesha kuwa yeye na wenzake sio wale tuliowadhania.
That's your right!
Kila kitu mnaona kuwa ni personal attack na hivyo ni wajibu wenu kumtetea hata kwa silly arguments.
Sina sababu ya kumchukia kwavile unamchukia. Silly argument ni relative term
Huo upofu ndio unaowafanya muwa underestimate CCM na kuwadharau watu kama Kigaila.
CCM inaingiaje hapa! Of course Kigaila ni con man! Mkewe yupo Bungeni yeye yupo Mahakamani kupiga mkewe kuwa Bungeni! Jioni wanalala kitanda kimoja. Mtu kama huyo ana heshima gani katika jamii.
Hivi mnadhani kuwa waliomkamata TAL na Mbowe kabla yake hajui how flimsy their case is?
Uchaguzi maana yake kuna ushindani na mitazamo tofauti. Hakuna aliyemkataa Mbowe wala Lissu
Hivi wewe ukimpigia Kura Hashim Runge na Kigaila kuna kosa! kwamba umemkataa Samia! nope
Ile yote ni power play kuwakumbusha nani ameshika dola. Hawana nia ya kumnyonga na wakitosheka watamuachia.
Ni jambo zuri sana kwasababu linazidi kujenga hasira miongoni mwa Wananchi. Ni hatua ya kwanza !
Kawaulize UNIP, KANU ilianzaje! Sasa hivi kuna sentinement katika jamii dhidi ya CCM! Hata CCM wanalijua hilo ndio maana wanataka kura zihesabiwe mikoani si vituoni! Con man kama Kigaila haoni tatizo!
Kitu kingine ni kuwa wanatumia kesi hii kupima depth ya real support ambayo yeye na agenda yake ya NRNE wanayo.
Saijui watatathimini vipi kwasababu naona kama mikutano inaeleza jambo! Ukimpiga mchunga halafu kondoo wakajikusanya una la kujiuliza
Kaka yake alimshauri awe magnanimous katika victory hakumsikia. Hawezi kukwepa lawama kwenye hili. Na uchawa wenu does him no favors.
Hivi unaweza kuwa magnanimous kwa Mrema, au con man Kigaila au Salumu. Hawa ni power mongers hawaridhiki na mabadiliko yanayowapokonya ulaji.
 
Back
Top Bottom