PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.

Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?

Wacha tuone nini kitajiri.



====================================

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi za jinai zinazomkabili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.

Lissu ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa International Democrat Union (IDU) anakabiliwa na kesi mbili mbele ya Mahakimu wawili tofauti.

Godbless Lema awasili ndani ya chumba cha Mahakama, ulinzi waimarishwa.


Ni chaneli gani mkuu
Kila lenye heri kwa mpenda haki Tundu Antipasi Mghwai Lissu
ni katika chaneli gani mkuu
 
Magereza wote hao wanaokimbizana na gari wanafanya hivyo kwa kusudi gani hasa? Ndio usalama? Kweli wizara ya mambo ya ndani ni bure kabisa.

Hakuna sababu ya msingi ya kuzurura na bunduki hadharani bila mantiki yoyote. Labda wanatafuta attention tu. Wamekuwa kama polisi wanaotafuta attention kwa kuzurura na bunduki.
 
Magereza wote hao wanaokimbizana na gari wanafanya hivyo kwa kusudi gani hasa? Ndio usalama? Kweli wizara ya mambo ya ndani ni bure kabisa.

Hakuna sababu ya msingi ya kuzurura na bunduki hadharani bila mantiki yoyote. Labda wanatafuta attention tu. Wamekuwa kama polisi wanaotafuta attention.
Zinaitwa hype, ila kwa watu tunaofaham usalama si lazima. huku US mfungwa haletwi mahakamani na rundo la watu
 
Back
Top Bottom