ukishajua ufanyeje? Unafaidikaje na uwepo wa Lissu rumande au mahakamani? Una ubia na hisa huko magereza? Wewe ni aina ya kijana anayesababisha ugumu wa maisha kwa vijana wa rika lako. Badala ya kujadili hoja unajadili watu kisha unatarajia kuwa na uchumi wa viwanda.Alivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...
una tenda ya maharage gerezani?Alivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...
Huna tofauti na yule DC aliyeenda kudai apewe taarifa za utendaji wa Mahakama hahahahahaha CCM ni ile ile oooghhh ni ileeeAlivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...
Mpaka maelekezo yatolewe!!Alivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...
haikuhusu mbona huulizi lini Lugumi atapelekwa mahakamani?Alivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...
Mwanaume hatakiwi kuwa mmbea .hapa kazi tu.Alivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...