KESI YA UCHOCHEZI: Tundu Lissu apandishwa kizimbani, apata dhamana, kesi yaahirishwa hadi Agosti 2

Alivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...
 
ukishajua ufanyeje? Unafaidikaje na uwepo wa Lissu rumande au mahakamani? Una ubia na hisa huko magereza? Wewe ni aina ya kijana anayesababisha ugumu wa maisha kwa vijana wa rika lako. Badala ya kujadili hoja unajadili watu kisha unatarajia kuwa na uchumi wa viwanda.
 
Alivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...
Huna tofauti na yule DC aliyeenda kudai apewe taarifa za utendaji wa Mahakama hahahahahaha CCM ni ile ile oooghhh ni ileee
 
Alivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...
Mpaka maelekezo yatolewe!!
 
Wakurupukaji wanaendelea kujipanga ni kesi gani madhubuti ya kumbambika asiweze kuchomoka.
 
Kwani yuko wapi? maana sijamsikia, au ndio anasemewa na wale mawakili 17?
 
Alivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...
haikuhusu mbona huulizi lini Lugumi atapelekwa mahakamani?
 
Hahahahahahaha JF vituko haviishi,,, wacha niongeze siku za kuishi, hii thread ni ya namna yake aisee.
 
Alivyotolewa lupango kwa rufaa nilisikia kwamba atarudishwa Mahakamani tena ili kusomemwa mashitaka yake, lkn sikumbuki walisema lini atarudishwa ningependa kujua kwa maana kimya kingi
sana ...
Mwanaume hatakiwi kuwa mmbea .hapa kazi tu.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom