ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,901
- 3,859
Unataka kutwambia Stoke City akipiga bao dakka ya 5 dhidi ya Man City, washabiki wa Stoke.City wasishangirie kwa.vile watafungwa tu ndani ya dakika 90?
Ww unajitambua mkuu.LISSU BADO HAJAKWAMUA KISIKI KUZUIA KUAPISHWA KWA MHE. MTATURU...
Kuna upotoshaji unaendelea kwenye mitandano kuhusu maamuzi ya Mahakama juu ya mapingamizi ya Serikali kwenye kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu dhidi ya Mhe.Spika.
Ifahamike kuwa:
1.Tundu Lissu aliwasilisha maombi ya kibali (Leave) cha Mahakama Kuu kuruhusiwa kufungua maombi ya Kiutawala (Judicial Review) kupinga uamuzi wa Mhe. Spika kumvua ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki ambapo tayari kuna Mbunge ameshachaguliwa na anasubiri tu kuapishwa (Mhe. Miraji Mtaturu).
2. Lissu katika ombi lake la msingi kaomba kuzuia kuapishwa kwa mbunge huyo anataka Mahakama itamke kuwa uamuzi huo ulikuwa batili. Hata hivyo, ubunge wake ulikoma kwa mujibu wa ibara ya 71(1)(c) ya Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977.
3. Lissu ameomba kupatiwa uamuzi wa Spika wa kumwondolea Ubunge kama ulichapishwa kwenye Gazeti la Serikali. Maombi hayo ameleta kwa mujibu wa kifungu cha 37(3) cha Sheria ya Uchaguzi sura Toleo la 2015.
4. Kilichojiri Mahakamani leo tarehe 26.08.2019 pamoja na baadhi ya mapingamizi ys utetezi kutokubalika:
(i). Mahakama imeafikiana na hoja za Upande wa Utetezi kuwa kuna mapungufu katika hati za viapo vilivyowasilishwa na upande wa Lissu hivyo kuviondoa vipengele vyote kwenye viapo hivyo.
(ii). Mahakama imekataa kutoa Amri yoyote ya kuzuia kuapishwa kwa Mbunge Mteule mpaka itakaposikiliza pande zote mbili.
(iii) Mahakama imetaka pande zote mbili zikawasilishe hoja zao kuhusu maombi ya kibali cha kuomba mapitio ya uamuzi wa Mhe. Spika tarehe 02.08.2019.
KWA UAMUZI HUO, NI WAZI KUWA NGOMA HAIJAISHA IPO PALE PALE.....
Basi hiyo siku babako na mamako walipokutana,mzee angemwaga nje ingekuwa poa.Mbowe anawapenda sana nyumbu kama ninyi mliobaki na akili za kuvukia barabara.
Kutoa mimba ni dhambi. Na serekali haina uwezo wa kufuta dhambi
Punguza porojoLISSU BADO HAJAKWAMUA KISIKI KUZUIA KUAPISHWA KWA MHE. MTATURU...
Kuna upotoshaji unaendelea kwenye mitandano kuhusu maamuzi ya Mahakama juu ya mapingamizi ya Serikali kwenye kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu dhidi ya Mhe.Spika.
Ifahamike kuwa:
1.Tundu Lissu aliwasilisha maombi ya kibali (Leave) cha Mahakama Kuu kuruhusiwa kufungua maombi ya Kiutawala (Judicial Review) kupinga uamuzi wa Mhe. Spika kumvua ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki ambapo tayari kuna Mbunge ameshachaguliwa na anasubiri tu kuapishwa (Mhe. Miraji Mtaturu).
2. Lissu katika ombi lake la msingi kaomba kuzuia kuapishwa kwa mbunge huyo anataka Mahakama itamke kuwa uamuzi huo ulikuwa batili. Hata hivyo, ubunge wake ulikoma kwa mujibu wa ibara ya 71(1)(c) ya Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977.
3. Lissu ameomba kupatiwa uamuzi wa Spika wa kumwondolea Ubunge kama ulichapishwa kwenye Gazeti la Serikali. Maombi hayo ameleta kwa mujibu wa kifungu cha 37(3) cha Sheria ya Uchaguzi sura Toleo la 2015.
4. Kilichojiri Mahakamani leo tarehe 26.08.2019 pamoja na baadhi ya mapingamizi ys utetezi kutokubalika:
(i). Mahakama imeafikiana na hoja za Upande wa Utetezi kuwa kuna mapungufu katika hati za viapo vilivyowasilishwa na upande wa Lissu hivyo kuviondoa vipengele vyote kwenye viapo hivyo.
(ii). Mahakama imekataa kutoa Amri yoyote ya kuzuia kuapishwa kwa Mbunge Mteule mpaka itakaposikiliza pande zote mbili.
(iii) Mahakama imetaka pande zote mbili zikawasilishe hoja zao kuhusu maombi ya kibali cha kuomba mapitio ya uamuzi wa Mhe. Spika tarehe 02.08.2019.
KWA UAMUZI HUO, NI WAZI KUWA NGOMA HAIJAISHA IPO PALE PALE.....
Hasara waliyoipata wazazi wako ( nawafahamu ) Haipimiki ! kuna haja ya serikali kuruhusu utoaji mimba
LISSU BADO HAJAKWAMUA KISIKI KUZUIA KUAPISHWA KWA MHE. MTATURU...

Waliopigwa ganzi wanajulikanaUmepigwa ganzi?[emoji23],huu mchezo hautaki papara
Mkuu kama hyo September 2 hoja ya kuweka pingamizi la kuapishwa litaskilizwa na kutolewa uamuzi instantly basi itasaidia kuepusha mgongano unaoweza kujitokeza.Bunge litaendelea na taratibu zake haliwezi kwenda kwa kufuata taarifa za vyombo vya habari wala kinachoendelea mahakamani
Kabisa mkuu.Mahakama zetu sina wakati mgumu sana. Wananchi wanajua ni kiasi gani wanavyoshinikizwa na wanasiasa. Maamuzi ya ndio dhidi ya wananchi huona wameshinikizwa. Maamuzi ya hapana huonekana wamehongwa. Ni shida.
Hii tabia ya wanasiasa kujifanya wanajua kila kitu imetufikisha hapa. Kwa nini msiwaache wataalam wa sheria wabishane na wengine muwe watazamaji? Vyombo vya habari vimeandika vizuri tu, kulikuwa na haja ya wewe kuandika ushabiki huu? Ndugu yangu Philipo Mwakibinga siasa ina mipaka yake. Ili udumu katika siasa jifunze miiko na mipaka yake na uishike. Uwe na siku njema!