Kesi ya Tundu Lissu sio ya kushangilia

Kesi ya Tundu Lissu sio ya kushangilia

Halafu watu kama hawa waliong'oka ubongo ndio Magufuli anawapenda sana ili awaburuze , maana anaweza kuwatumia kama mashine tu , si unamuona Sabaya ?
Mbowe anawapenda sana nyumbu kama ninyi mliobaki na akili za kuvukia barabara.
Kutoa mimba ni dhambi. Na serekali haina uwezo wa kufuta dhambi
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kutuaminisha upumbavu.

Mmeweka Mawakili Nguli 16 kwa kesi ya kumvua Lissu Ubunge na risasi bado ziliingia ndani ya Mwili wake.

Hamuoni fedheha.
Yawezekana mleta mada akawa mmoja wapo wa mawakili wanapwakilisha kila risasi iliyoingia mwilini wa Lissu? Risasi 16, mawakili 16.

Kama ni mmoja wapo basi sishangai kuisoma hii thread yake
 
Sijui mnyakyusa Wa Wapi huyu? Tukuyu,busokelo ,Kyela au ipinda
Lakini hajasema ni Mnyakyusa, yaweza kuwa ni majina bandia tu. Kiasili hakuna Mnyakyusa msomi mwenye kiwango cha chini cha ufahamu kama huyu labda waliosurrender akili Lumumba kama Mwakyembe.
 
Hii ngoma bado sijaelewa,Bunge linaanza tar 3 September,je ktk mazingira hayo si anaweza kuapishwa ?
Mkuu hata kama ni kusaka uteuzi usipotoshe
1. Mahakama imesema moja ya pingamizi inayoongelea kiapo licha ya kuwa yana mashiko ila hayaathiri hoja za msingi zilizowasilishwa yaani hata hizo aya zikifutwa bado hoja zilizobaki zinatosha kusikilizwa kwa kesi.
2.Mahakama haijakataa kusimamisha kuapishwa kwa mbunge mteule bali imesema hiyo hoja iletwe na itasikilizwa wakati wa majadiliano ya kesi ya msingi kuanzia September 2.

Mkuu usipotoshe ili kupata uteuzi, ulipokua CHADEMA ulijua kujenga hoja sema toka umerudi CCM unazidi kujidhalilisha hadi CCM wenyewe wanakudharau.

Shame on you scumbag
 
LISSU BADO HAJAKWAMUA KISIKI KUZUIA KUAPISHWA KWA MHE. MTATURU...

Kuna upotoshaji unaendelea kwenye mitandano kuhusu maamuzi ya Mahakama juu ya mapingamizi ya Serikali kwenye kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu dhidi ya Mhe.Spika.

Ifahamike kuwa:

1.Tundu Lissu aliwasilisha maombi ya kibali (Leave) cha Mahakama Kuu kuruhusiwa kufungua maombi ya Kiutawala (Judicial Review) kupinga uamuzi wa Mhe. Spika kumvua ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki ambapo tayari kuna Mbunge ameshachaguliwa na anasubiri tu kuapishwa (Mhe. Miraji Mtaturu).

2. Lissu katika ombi lake la msingi kaomba kuzuia kuapishwa kwa mbunge huyo anataka Mahakama itamke kuwa uamuzi huo ulikuwa batili. Hata hivyo, ubunge wake ulikoma kwa mujibu wa ibara ya 71(1)(c) ya Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977.

3. Lissu ameomba kupatiwa uamuzi wa Spika wa kumwondolea Ubunge kama ulichapishwa kwenye Gazeti la Serikali. Maombi hayo ameleta kwa mujibu wa kifungu cha 37(3) cha Sheria ya Uchaguzi sura Toleo la 2015.

4. Kilichojiri Mahakamani leo tarehe 26.08.2019 pamoja na baadhi ya mapingamizi ys utetezi kutokubalika:

(i). Mahakama imeafikiana na hoja za Upande wa Utetezi kuwa kuna mapungufu katika hati za viapo vilivyowasilishwa na upande wa Lissu hivyo kuviondoa vipengele vyote kwenye viapo hivyo.

(ii). Mahakama imekataa kutoa Amri yoyote ya kuzuia kuapishwa kwa Mbunge Mteule mpaka itakaposikiliza pande zote mbili.

(iii) Mahakama imetaka pande zote mbili zikawasilishe hoja zao kuhusu maombi ya kibali cha kuomba mapitio ya uamuzi wa Mhe. Spika tarehe 02.08.2019.

KWA UAMUZI HUO, NI WAZI KUWA NGOMA HAIJAISHA IPO PALE PALE.....
Mkuu mbona ni common sense tu. Huu ushindi wa Lissu awamu ya kwanza ni maandalizi ya matokeo ya main game.
 
MLETA UZI UMEHARIBIWA HUKO NYUMA HAUKUWA HIVI, SASA HIVI HUNA TOFAUTI NA MASHAKA HAMDU MASHAKA, UNA HARAKA MNO ZA KUTAKA KUTEULIWA KWA KUWASALITI WATZ NA KAWAIDA YA VIJANA WA KIUME WASIOTKA KUJITEGEMEA NA KUNYEMELEA UTEUZI WAKIKOSA UTEUZI MARA NYINGI HUJIKUTA KWNY SALOON ZA AKINA DADA NA PIA HUJICHANGANYA NA MADAD POA NA KUJIKUTA WANAANZA KUBINUA VYUGUU WAKITEMBEA, CHUNGA SANA SANA MBEYA HAWANA HIZI TABIA CHAFU SIJUI WEWE NI KUTOKA MBAYEA IPI
 
Ni kweli siyo ya kushangilia sana,changamoto ipo pale ambapo mhimili uliojichimbia sana ukitaka nini kifanyike,kimsingi haki itendeke na ionekane imetendeka,nawaza tu jamani
 
Wewe mpumbavu unachofurahia nini? Mbona haueleweki, kuna mtu anashangilia? Nyie ndio watesi wa Watanzania.
LISSU BADO HAJAKWAMUA KISIKI KUZUIA KUAPISHWA KWA MHE. MTATURU...

Kuna upotoshaji unaendelea kwenye mitandano kuhusu maamuzi ya Mahakama juu ya mapingamizi ya Serikali kwenye kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu dhidi ya Mhe.Spika.

Ifahamike kuwa:

1.Tundu Lissu aliwasilisha maombi ya kibali (Leave) cha Mahakama Kuu kuruhusiwa kufungua maombi ya Kiutawala (Judicial Review) kupinga uamuzi wa Mhe. Spika kumvua ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki ambapo tayari kuna Mbunge ameshachaguliwa na anasubiri tu kuapishwa (Mhe. Miraji Mtaturu).

2. Lissu katika ombi lake la msingi kaomba kuzuia kuapishwa kwa mbunge huyo anataka Mahakama itamke kuwa uamuzi huo ulikuwa batili. Hata hivyo, ubunge wake ulikoma kwa mujibu wa ibara ya 71(1)(c) ya Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977.

3. Lissu ameomba kupatiwa uamuzi wa Spika wa kumwondolea Ubunge kama ulichapishwa kwenye Gazeti la Serikali. Maombi hayo ameleta kwa mujibu wa kifungu cha 37(3) cha Sheria ya Uchaguzi sura Toleo la 2015.

4. Kilichojiri Mahakamani leo tarehe 26.08.2019 pamoja na baadhi ya mapingamizi ys utetezi kutokubalika:

(i). Mahakama imeafikiana na hoja za Upande wa Utetezi kuwa kuna mapungufu katika hati za viapo vilivyowasilishwa na upande wa Lissu hivyo kuviondoa vipengele vyote kwenye viapo hivyo.

(ii). Mahakama imekataa kutoa Amri yoyote ya kuzuia kuapishwa kwa Mbunge Mteule mpaka itakaposikiliza pande zote mbili.

(iii) Mahakama imetaka pande zote mbili zikawasilishe hoja zao kuhusu maombi ya kibali cha kuomba mapitio ya uamuzi wa Mhe. Spika tarehe 02.08.2019.

KWA UAMUZI HUO, NI WAZI KUWA NGOMA HAIJAISHA IPO PALE PALE.....

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hata sisi tunajua kabisa kesi hii bado kabisa.
Ukiwasikiliza mawakili hata Tundu mwenyewe. Husikii yeyote akielezea hoja mbili za Ndugai
yaani
-kwa nini hakumtaarifu Bosi wake RASMI
- Kwa nini hakujaza form ya maadili.
Kwa sasa tunajiandaa kudai "mahakama zetu hazipo HURU" iwapo Lissu akishindwa.
Si UNATUFAHAMU?
 
Mimi nina swali dogo,wakati hii kesi inaendelea hadi iishe huyu mteule si atakuwa ameapishwa kama hakuna zuio?Pointi yangu ni kwamba hizi kesi zaaina hii aghalabu huchukua muda mrefu.
Mkuu hata kama ni kusaka uteuzi usipotoshe
1. Mahakama imesema moja ya pingamizi inayoongelea kiapo licha ya kuwa yana mashiko ila hayaathiri hoja za msingi zilizowasilishwa yaani hata hizo aya zikifutwa bado hoja zilizobaki zinatosha kusikilizwa kwa kesi.
2.Mahakama haijakataa kusimamisha kuapishwa kwa mbunge mteule bali imesema hiyo hoja iletwe na itasikilizwa wakati wa majadiliano ya kesi ya msingi kuanzia September 2.

Mkuu usipotoshe ili kupata uteuzi, ulipokua CHADEMA ulijua kujenga hoja sema toka umerudi CCM unazidi kujidhalilisha hadi CCM wenyewe wanakudharau.

Shame on you scumbag
 
Kwani huyu mwakibinga yupi? Unasema amewahi kuwa huku, lini na alitokea wapi?
Mkuu hata kama ni kusaka uteuzi usipotoshe
1. Mahakama imesema moja ya pingamizi inayoongelea kiapo licha ya kuwa yana mashiko ila hayaathiri hoja za msingi zilizowasilishwa yaani hata hizo aya zikifutwa bado hoja zilizobaki zinatosha kusikilizwa kwa kesi.
2.Mahakama haijakataa kusimamisha kuapishwa kwa mbunge mteule bali imesema hiyo hoja iletwe na itasikilizwa wakati wa majadiliano ya kesi ya msingi kuanzia September 2.

Mkuu usipotoshe ili kupata uteuzi, ulipokua CHADEMA ulijua kujenga hoja sema toka umerudi CCM unazidi kujidhalilisha hadi CCM wenyewe wanakudharau.

Shame on you scumbag

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
LISSU BADO HAJAKWAMUA KISIKI KUZUIA KUAPISHWA KWA MHE. MTATURU...

Kuna upotoshaji unaendelea kwenye mitandano kuhusu maamuzi ya Mahakama juu ya mapingamizi ya Serikali kwenye kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu dhidi ya Mhe.Spika.

Ifahamike kuwa:

1.Tundu Lissu aliwasilisha maombi ya kibali (Leave) cha Mahakama Kuu kuruhusiwa kufungua maombi ya Kiutawala (Judicial Review) kupinga uamuzi wa Mhe. Spika kumvua ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki ambapo tayari kuna Mbunge ameshachaguliwa na anasubiri tu kuapishwa (Mhe. Miraji Mtaturu).

2. Lissu katika ombi lake la msingi kaomba kuzuia kuapishwa kwa mbunge huyo anataka Mahakama itamke kuwa uamuzi huo ulikuwa batili. Hata hivyo, ubunge wake ulikoma kwa mujibu wa ibara ya 71(1)(c) ya Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977.

3. Lissu ameomba kupatiwa uamuzi wa Spika wa kumwondolea Ubunge kama ulichapishwa kwenye Gazeti la Serikali. Maombi hayo ameleta kwa mujibu wa kifungu cha 37(3) cha Sheria ya Uchaguzi sura Toleo la 2015.

4. Kilichojiri Mahakamani leo tarehe 26.08.2019 pamoja na baadhi ya mapingamizi ys utetezi kutokubalika:

(i). Mahakama imeafikiana na hoja za Upande wa Utetezi kuwa kuna mapungufu katika hati za viapo vilivyowasilishwa na upande wa Lissu hivyo kuviondoa vipengele vyote kwenye viapo hivyo.

(ii). Mahakama imekataa kutoa Amri yoyote ya kuzuia kuapishwa kwa Mbunge Mteule mpaka itakaposikiliza pande zote mbili.

(iii) Mahakama imetaka pande zote mbili zikawasilishe hoja zao kuhusu maombi ya kibali cha kuomba mapitio ya uamuzi wa Mhe. Spika tarehe 02.08.2019.

KWA UAMUZI HUO, NI WAZI KUWA NGOMA HAIJAISHA IPO PALE PALE.....
(iii) Mahakama imetaka pande zote mbili zikawasilishe hoja zao kuhusu maombi ya kibali cha kuomba mapitio ya uamuzi wa Mhe. Spika tarehe 02.08.2019.

Correction hapo sio 02.09.2019?
 
ni kweli ngoma haijaisha. ilikuwa 100% lakini sasa imebaki 50%, which's quite a significant step.
hata kina Mwalimu Nyerere wakati ule wa kupigania uhuru walikwenda stepwise.
 
Back
Top Bottom