Kesi ya Tundu Lissu mubashara ITV

Kesi ya Tundu Lissu mubashara ITV

Wewe jamaa ni kijana mdogo kabisa kwanini hutaki kununua TV ?
Tutakosana aisee kwa ukale wa namna hii
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Hapa nakiri nimekosea kwanza naomba samahani sana aiseeee kweli nimekosea hapa...

Ngoja nifanye juu chini nipate tv tuu mkuu sitaki kukosana na wewe humu maana wewe una mchango mkubwa sana humu ndani
😂🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌
 
Nafurahi kusikia hivyo ,ahsante
 
Back
Top Bottom