Kesi ya mwalimu Ayubu wa St Florence imeishia wapi?

Kesi ya mwalimu Ayubu wa St Florence imeishia wapi?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,708
Reaction score
8,746
Kama mada inavyojieleza

Kuna wakati zilienea taarifa za mwalimu kwa jina Ayubu wa St Florence P school DSM za kuwala wanafunzi wake wa std 7

Wazazi walihamaki na kujaa upepo mbaya hasa wamama

Jamaa akaingia mitini

Baada ya hapo sikusikia tena kama Jamaa kakamatwa au LA

Mnijuze
images-4.jpeg
 
Hujaizoea tu nchi yako?hua tunasombwa na matukio,na kila kiongozi ana muda wake wa kiki,ni zam kwa zam,now ni zamu ya 'mtafuta mbwa' kubaki kwenye ncha za ulimi wa watanzania...
 
Dah sijui imeishia wapi, ila hako katoto kalikoshika mkono wa kushoto wa mwalimu kako comfortable naye sana. Mungu linda watoto wetu.
 
Kwa sampuli izo Za insta tangu watoto wadogo, Unakuta mtoto mama ake ana danga na danga lenyewe linaletwa ndani, Sioni kosa la Ayubu ambaye amefata natural
 
jamaa hajaonekana hadi leo,.aliondoka wiki 2 kabla ya Kesi kufufuka upya, so alikuwa ana muda mrefu wa kujipanga
 
Back
Top Bottom