Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,346
- 9,846
Habari wana jamii, kwasababu hii au ile nimejilazimisha kukaa muda mrefu kidogo bila kupost.
Nadhani tunatembea kwenye tope kama taifa bila nuru ya mwanga. Tumefikia mahali tunaongozwa na watu ambao hata Mungu hakuwaumba kuwa viongozi.
1. Toka Magu sasa wamejiuzulu VP wawili na waziri mkuu mmoja...
Kuna yule aliambiwaga atakuwa sijui msaidizi, sijui photography au igizo....hiyo story sijui iliishia wapi!
Watu wanabahatishia mawazo yao kwenye maisha yetu.
2. Uhusiano kimataifa uko katika level ya chini haijawahi kutokea.
3. Mtangamano wa kisiasa kwa siasa za ndani umekufa...
Maelekezo ni "kesho kamuue Yule na Yule, Yule apigwe Sana, Yule afunguliwe kesi kubwa na yule atupwe msituni"
4. Kuna matamasha ya Kizimkazi, sijui tunayafanya tukikumbuka tukio gani au tukiwaenzi mashujaa wapi.
Tanzania yangu pole, pole na mimi pia.
Wachaga wanasema, ukicheza na mpumbavu atakupaka mavi...
Tumecheza na wapumbavu..
Tanzania haraka sana imekuwa kituko duniani, ila dunia ituvumilie maana kama nchi tunapitia katika kipindi cha uongozi wa kijinga