CHADEMA wakubali tu walishindwa uchaguzi 2020 wala wasione aibu CCM wenzao walijipanga na sera nzuri kwa wananchi lakini Tundu alishindwa kushawishi watu matokeo yake akaponza chama chake chote sasa waache usanii wa maridhiano ili wapewe nafasi za kuteuliwa(njaa inawatafuna huku mtaani) kisa walishindwa kuwashawisha wapiga kura saizi wanawasumbua walioshinda uchaguzi huo sio ustaarabu kwa kweli mbona 2025 sio mbali wavumilie tu tushinde nao vijiweni


.Siasa sio ajira ya kudumu watu wakikuchoka kama yule ya Mbeya na Arusha unakaa benchi kwani wewe ni nani bwana.