Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
So sad ! Inspector haji DCI inamaanisha nini...... Polisi imejaa viazi !Kesi iendelee sisi wananchi wa kawaida tuone 'umahiri' wa jeshi la polisi...
Wenye busara na hekima, waliliona hili mapema sana, Na kutoa ushauri, ila hadi sasa haujafanyiwa kazi. Pia hapa JF kuna nyuzi kadhaa wa kadhaa zimeshauri kuhusu hii kesi.Tunakokwenda, serikali inaendelea kujidhalilisha, bora waifute hii kesi kwa maslahi ya nchi. Wanazidi kujianika na mambo ya siri ya nchi kama kuwa na Pegasus ambayo imelalamikiwa dunia nzima kutokana matumizi mabaya
For a matter of national security either the President or DPP should terminate this case immediately !
Acha mvua inyeshe ili tujue panavyo vuja.Kesi iendelee sisi wananchi wa kawaida tuone 'umahiri' wa jeshi la polisi...
Katika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond a reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba mtuhumiwa ahukumiwe kwenda Jela au Kufa...
Shahidi anaposema kwamba hakuona chopchote kuhusiana na ughaidi ina maana kwamba ana raise DOUBT !Katika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba mtuhumiwa ahukumiwe kwenda Jela au Kufa...
Jeshi la Polisi halina viongozi wenye weledi. Ni wavuta bangi tu. Acha mvua inyeshe tujue panapovuja.So sad ! Inspector haji DCI inamaanisha nini...... Polisi imejaa viazi !
Kazi anayoijua ni kukojoa tu mahakamani
I agree with the author. The witness raised doubt, qnd actually assisted the defense team in establishing their premise of the accused persons not being terrorists.Shahidi anaposema kwamba hakuona chopchote kuhusiana na ughaidi ina maana kwamba ana raise DOUBT !
Kiufupi, Shahidi wa leo Tarehe 19/01/2022 Amemaliza Kesi. Hakuna Kesi pale ![emoji1534][emoji1534][emoji1534]
Kesi ya michongo...! Mashahidi wa michongo...! Hukumu itakuwaje? Je hata jaji ni wa mchongo?I agree with the author. The witness raised doubt, qnd actually assisted the defense team in establishing their premise of the accused persons not being terrorists.
The prosecution is failing to establishg their case beyond reasonable doubt. The witness has casted doubt on the case
... kuna yule mmoja alikuwa usiku halali akiwasikilizia wenzie wanachoongea na wake zao usiku wa manane! Hope alikuwa anatumia hii kitu.Tunakokwenda, serikali inaendelea kujidhalilisha, bora waifute hii kesi kwa maslahi ya nchi. Wanazidi kujianika na mambo ya siri ya nchi kama kuwa na Pegasus ambayo imelalamikiwa dunia nzima kwa kutumiwa vibaya kudukua mawasiliano ya wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari na wana harakati.
...
Isifutwe asee imetusaidia sn kujua uozo wa polisiKatika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba mtuhumiwa ahukumiwe kwenda Jela au Kufa...
Ndiyo maana alikufa mapema... kuna yule mmoja alikuwa usiku halali akiwasikilizia wenzie wanachoongea na wake zao usiku wa manane! Hope alikuwa anatumia hii kitu.
IGP inatakiwa ashitakiwe na afungwePamoja na hayo ndani ya Jopo la Mawakili wa upande wa Jamhuri wapo ambao wameona ni jinsi gani Taaluma yao inanajisiwa kwa faida ya Wachache. Naona hawapo pamoja kama ilivyokuwa Mwanzo...
Ushahidi usio na mashaka unaanzia kwa shahidi asiye na mashaka. Wote wanamashaka kuanzia yule muuza MbegeKatika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba mtuhumiwa ahukumiwe kwenda Jela au Kufa !
Kila ishara inaonyesha hii kesi haina merit to affirm a conviction of guilt beyond reasonable doubt. The state witnesses are confused. Hawajitambui. Shahidi anaposema kwamba hakuona chopchote kuhusiana na ughaidi ina maana kwamba ana raise DOUBT !
Kiufupi, Shahidi wa leo Tarehe 19/01/2022 Amemaliza Kesi. Hakuna Kesi pale !
Tunakokwenda, serikali inaendelea kujidhalilisha, bora waifute hii kesi kwa maslahi ya nchi. Wanazidi kujianika na mambo ya siri ya nchi kama kuwa na Pegasus ambayo imelalamikiwa dunia nzima kwa kutumiwa vibaya kudukua mawasiliano ya wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari na wana harakati.
Mbaya zaidi hii kesi inazidi kuichafua nchi kimataifa. Leo Tanzania inafahamika kuwa na ughaidi, kitu kibaya sana inapokuja swala la utalii. Zaidi ya yote ina mtengenezea Rais Samia dhana ya udikteta. Sipati picha itokee media kama Aljazeera, au BBC Stephen Sackur amuhoji mama Samia au kiongozi yeyote wa juu ndio watanzania watajua hawajui
For a matter of national security either the President or DPP should terminate this case immediately !
View attachment 2088694View attachment 2088694
Mawakili wa jamhuri wao wameshachoka. Wanaona bora liende tu siku zisonge wale perdiemPamoja na hayo ndani ya Jopo la Mawakili wa upande wa Jamhuri wapo ambao wameona ni jinsi gani Taaluma yao inanajisiwa kwa faida ya Wachache. Naona hawapo pamoja kama ilivyokuwa Mwanzo.
Ushahidi uliotolewa Jana ni wazi kabisa Mawakili hawakuwa pamoja na Shahidi yule. Au Shahidi kaamua kulinda Taaluma yake.
Kesi hii itakuja kwenda na baadhi ya watu ndani ya Jeshi la Polisi.
Jana niliipitia ile video clip ya Siro akijigamba kuwa wanaushahidi mzito kumbe takataka tu, nimetokea kumchukia sana yule BabaIGP inatakiwa ashitakiwe na afungwe