Kesi ya Lissu na hatima ya maridhiano

Kesi ya Lissu na hatima ya maridhiano

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671
50fbef01-fd4b-4804-8919-67e52897adbf.jpg.webp

Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitimiza siku 100 madarakani tangu alipoapishwa Novemba 3, 2025, ahadi ya kuunda tume ya maridhiano na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya imekuwa ikihojiwa. Lakini mwenyewe alisema ahadi yake ya kuunda tume ya maaridhiano itasubiri kwanza Tume aliyoiunda ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani Oktoba 29 itakapomaliza kazi.

Tume hiyo inayoongozwa na Jaji mstaafu, Mohamed Othman Chande iliyozinduliwa Novemba 18, 2025 ilipewa miezi mitatu. Maana yake itakamilisha kazi zake Februari 18, 2026 na baada ya hapo sasa ndiyo tutarajie jTume ya Maridhiano iundwe.

Hata hivyo, swali limekuwa likiulizwa, maridhiano yatafanyikaje wakati Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani akikabiliw ana kesi ya uhaini? Je, bado kesi hiyo ina manufaa kwa Serikali ya CCM?

Akizungumza mahakamani Februari 9, 2026, Lissu alisema kesi hiyo imesikilizwa kwa siku 14 tu pamoja na siku hiyo zitakuwa siku 15 wakati amekaa rumande kwa siku 307. Alilinganisha na kesi nyingine ikiwamo ya Grey Likungu iliyosikilizwa miaka 56 iliyopita ilikuwa na ambayo ilikuwa na washitakiwa tisa lakini ilichukua miezi sita tu hadi kufika Mahakama ya Rufani.

Alitaja pia kesi ya Khatib Gandi na wenzake 18 kutoka Mahakama Kuu hadi Court of Appeal kuanzia ilipoanzia hadi ilipoishia ilichukua miezi 14 na mashahidi 140, lakini kesi yake imechukua miezi 10 wamemaliza mashahidi watatu tu.

Kwa maana nyingine, kama kesi hiyo itaendelea kusikilizwa maana yake itachukua hata miaka mitatu kukamilisha kuwasikiliza mashahidi wote na kutolewa hukumu.

Serikali ilikosea mahesabu

Ukweli ni kwamba kesi hii ilikuwa ni kukosea mahesabu ya kisiasa kwa Serikali na CCM. Kwa sababu Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025 akiwa wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma katika kutano wa operesheni ya No Reforms No Election ya CHADEMA.

Kwanza inajulikana kwamba, kitendo cha CHADEMA kumchagua Lissu na makamu wake John Heche, hakikuwapendeza CCM. Mbaya Zaidi, misimamo mikali ya viongozi hao katika utekelezaji wa No reforms No election, iliwatisha CCM, wakaona ni lazima wawadhibiti.

Ndipo Lissu akakamatwa na ilipofika Juni 10, CHADEMA ikazuiwa kufanya kazi kutokana na kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, Said Issa Mohamed na wenzake wawili. Kwa hiyo ile mikutano ya chama hicho iliyokuwa ikifanyika nchi nzima ikasitishwa, matumizi ya ofisi ikiwamo ya makao makuu Mikocheni Dar es Salaam na magari yakazuiwa kutumika.

CCM waliona kama viongozi hao wangeachwa mtaani na kama chama hicho kingeendelea na operesheni zake, hali ingekuwa mbaya na huenda uchaguzi usingefanyika kama walivyokuwa wanahubiri.

Kwa hiyp pamoja na kumshikilia Lissu, Oktoba 22, 2026 ikiwa imebaki wiki moja kuelekea uchaguzi mkuu, Heche naye akakamatwa na kushikiliwa na polisi mpaka uchaguzi ulipoisha.

Lengo lilikuwa ni kuzima uasi wa aina yoyote kwa wananchi kuelekea uchaguzi huo. Kwamba wananchi wasije wakashawishika wakasusia uchaguzi au wakaandamana au kufanya vurugu. Yaani uchaguzi upite kiulaini kabisa na ile No Reforms No Elections iaibike.

Lakini pamoja na kumshikilia Lissu na Heche, Oktioba 29, 2025 kwanza idadi ya wapiga kura ilikuwa chini sana, kana kwamba watu walisusia uchguzi ule. Ilipofika saa 5 asubuhi, maandamano yaliibuka Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Njombe, Iringa na maeneo mengine mikoani huko.

Hapa ndiyo utaona miscalculations za Serikali, kwa sababu walidhani kumshikilia Lissu na Heche na kuifungia CHADEMA ndiyo wamemaliza kazi, kumbe ndiyo wamekiepusha chama hicho na lawama za moja kwa moja za kuhusika na vurugu zile.

Kwa hiyo ni kama CHADEMA ilikuwa ikionya tu kwmba, kama hakutakuw ana mabadiliko, hakutakuwa na uchaguzi na kweli imetokea. Hakukuwa na uchaguzi kwa sababu ulivurugwa na maandamano, wananchi walichoma miundombinu, walichoma vituo vya kupigia kura, walichoma vituo vya polisi, magari na mali nyinginezo.

Sheria ya Uchaguzi kifungu cha 88.-(1) inasema, “Endapo mwenendo wa upigaji kura katika kituo chochote unakatizwa au kuzuiliwa kwa ghasia au vurugu, majanga au kwa sababu nyingine yoyote ya msingi wakati kuna wapiga kura waliobaki ambao hawajamaliza utaratibu wa kupiga kura, msimamizi wa kituo ataahirisha zoezi mpaka siku inayofuata na mapema iwezekanavyo atampa taarifa msimamizi wa uchaguzi.”

Kwa maandamano yale ya Oktoba 29, 2025 ni wazi kwamba uchaguzi ulivurugwa, lakini cha ajabu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) iliendelea kutangaza matokeo, kana kwamba hakuna lililotokea. Haiwezekano vurugu zote hizo zilizomfanya Rais kuunda tume kuchunguza, halafu uchaguzi ungeweza kuendelea bila shida yoyote.

Ripoti za waangalizi tangu Ujumbe wa Waangalizi wa SADC (SEOM), waangalizi wa Umoja wa Afrika, waangalizi wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini, wamekosoa vikali uchaguzi huo. Hata Taasisi ya Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki pia imekosoa uchaguzi huo.

Lakini haya yote, walishayasema CHADEMA wakati operesheni ya No Reforms No Election na bahati nzuri, viongozi waliepushwa na lawama kwa kuwekwa ndani.

Matokeo yake sasa Serikali ina kesi ya kujibu kuhusu mauaji yaliyotokea wakati wa maandamano yale, mpaka leo wameshindwa kutaja idadi ya waliouawa.

Ugumu wa kesi ya Lissu

Soma pia: Baada ya mauaji ya Oktoba 29, CCM inahitaji maridhiano kuliko CHADEMA

Sasa baada ya kuweka msingi wa tatizo lenyewe turudi kwenye maridhiano. CCM baada ya kushinda uchaguzi wenye maswali lukuki, sasa wanataka kuridhiana. Kuna taarifa ambazo MAkamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Heche amekuwa akizisema mara kadhaa na hata Februari 9 alisema tena akiwa Mahakama Kuu Dar es Salaam, kwamba kumekuwa na juhudi za kumfuata Lissu gerezani na kumshawishi aachiliwe na kisha aondoke nchini.

Lissu Mwenyewe ameshasema tangu mwaka jana kuwa kesi yake imeshaisha, ila alikuwa akiwekwa gerezani ili kupisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Kwa taarifa hizo za Heche, huenda kukaa kwa Lissu gerezani kwa muda mrefu kunatokana na juhudi za kuiyeyusha kesi hiyo kisiasa.

Maana yake ni kwamba kesi hiyo sasa imekuwa mwiba kwa CCM lakini hawajui wataimalizaje. Wakisema wasema hawana nia ya kuendelea nayo, maana yake Lissu ataibuka mshindi, kwani Serikali iliyoianzisha imekosa mashiko ya kuendelea nayo.

Kwanza kesi hii inaitoa doa Tanzania katika uga wa kimataifa, ikichukuliwa kwamba Tanzania imeingia kwenye rekodi ya nchi zilizoingia kwenye machafuko wakati wa uchaguzi. Tunamwona Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabiti Kombo akizunguka kwenye mataifa makubwa kujaribu kuzishawishi nchi kama Marekani, Jumuiya ya Ulaya, Russia, China, Vatican na nyinginezo zisije zikatoa adhabu kali.

Mara kadhaa Jumuiya ya Ulaya imeshaonya kuhusu kesi ya Lissu na imesema kiongozi huyo anapaswa kuachiliwa bila masharti. Kwa hiyo, kesi hiyo ni lazima itafutwa.

Pili, Kama kesi hii itaendelezwa, basi Serikali iwe tayari kuwaleta mashahidi 15 waliotajwa la Lissu akiwamo Rais Samia Suluhu Hassan, aliyekuwa Makamu wa Rais Dk Philip Mpango, Waziri Mkuu mstaafu, Kassim Majaliwa Kassim, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Ramadhani Kingai, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa.

Soma pia: Lissu ataja mashahidi 15 katika kesi yake ya uhaini

Wengine ni Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng'anzi, mwanaharakari wa Uganda Agather Atuhaire, mwanaharakati wa Kenya, Boniface Mwangi, Mkurugenzi wa Jambo TV John Marwa, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Amani Golugwa, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Wegesa Heche, Katibu Mkuu wa CHADEMA John John Mnyika, Dr. Willy Munyoki Mutunga na mwanasiasa Martha Wangari Karua.

Hawa mashahidi wakiruhusiwa wote kufika mahakamani, patakuwa hapatoshi. Je, Serikali itakubali hao viongozi wa Serikali wafikishwe mahakamani kuhojiwa na Lissu?

Maridhiano yatakuwaje?

Pamoja na uwezekano mkubwa wa Lissu kumwachilia Lissu ipende au isipende, lakini suala la maridhiano yataleta mvutano mkubwa, kwanza kwa sababu kuna pande mbili zinazovutana; yaani CCM na CHADEMA.

Tumeshamsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Heche akisema hawatakubali maridhiano yasiyokuwa na uwajibikaji. Pia amesema, Lissu anapaswa kuachiliwa bila masharti yoyote, yaani Lissu asije akabebeshwa lawama za machafuko ya Oktoba 29 halafu akaachiliwa kwa huruma.

Pia tumemsikia Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alipohojiwa na Shirika la Habari la Uingereza (BBC), akisema maridhiano ni suala la hiari, wale ambao hawatayakubali hawatalazimishwa.

Soma pia: Msigwa: Maridhiano ni jambo la hiari sio kulazimishwa

Ugumu wa maridhiano utatokana na masharti magumu watakayokuja nayo CHADEMA, huku CCM nao wakijiona kuwa wana za kuamua kila kitu. Wapo wanaoshauri kwamba iundwe Serikali ya Umoja wa Kitaifa itakayowahusisha CHADEMA pengine na ACT Wazalendo, kama ilivyo kule Zanzibar, lakini CHADEMA watakubali kunyamazishwa kwa kupewa vyeo?
 
View attachment 3542415

Gentleman,
haki anayostahili muhaini Lisu ni jela, kunyongwa hadi kurest in pisi, hakuna kingine.

suala la maridhiana ni la waTanzania raia wema tu, wahalifu ikiwa ni pamoja na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mamaluki wao inafaa waendelee kusote korokoroni kulingana na uhalifu wao mpaka pale mahakama itakavyoamua vinginevyo.

hakuna haja ya porojo na upotoshaji kwenye suala la maridhiano eti ili yafanyike lazima sijui kibaraka au nani awepo ndio yafanyike, huo ni upotoshaji and that's completely nonsense:NoGodNo:
 
Uchambuzi makini sana
Pascal Mayala njoo angalia makala za wasomi
 
Gentleman,
haki anayostahili muhaini Lisu ni jela, kunyongwa hadi kurest in pisi, hakuna kingine.

suala la maridhiana ni la waTanzania raia wema tu, wahalifu ikiwa ni pamoja na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mamaluki wao inafaa waendelee kusote korokoroni kulingana na uhalifu wao mpaka pale mahakama itakavyoamua vinginevyo.

hakuna haja ya porojo na upotoshaji kwenye suala la maridhiano eti ili yafanyike lazima sijui kibaraka au nani awepo ndio yafanyike, huo ni upotoshaji and that's completely nonsense:NoGodNo:
Ccm Ina mazuzu mengi sana
 
Sasa ili anyongwe si inabidi mashahidi zake aliowataja waletwe mahakamani au mimi sijaelewa.

Imagine bi ushungi yupo kizimbani, cha kwanza itabidi tuombe mwangozo avue ushungi ili tuuone upara bila chogo a.k.a chapati.

Halafu ndio akutane na spana za kutosha
 
si lazima kwa mujibu wa sheria za kitaifa na kimataifa mashahidi kuonekane kwa yeyote, ni haki yao kuamua ikiwa inafaa kuonekana ama kutokuonekana popote mahakamani. Hata majuzi tu kule ICC kwenye kesi zilizowakabili Raisi uhuru kenyata na william Ruto, hakuna shahidi alionekana ndani au nje ya mahakama, kwasababu ni haki yao kuamua kuonekana ama kutokuonekana.

kesi ya huyo kibaraka muhaini inamuhusu yeye binafsi na wengine ambao soon nao watahitajika mahakamani. Huna haja kupiga ramli na kuhusisha wasio husika :NoGodNo:
 
Ccm imewekeza sana Kwa wajinga kama nyie msijua kuhoji chochote ka zuzu
relax mamaluki lofa,
ndio maana wanasheria wenu wakitoka mahakamani wanalalamika mapingamizi yao nonsense kutupiliwa mbali,

halafu kilofa zaidi,
naibu katibu mkuu anatangaza kupuuza amri za msingi za mahakama,
sikio la kufa bana dah?:pedroP:
 
Gentleman,
si lazima kwa mujibu wa sheria za kitaifa na kimataifa mashahidi kuonekane kwa yeyote, ni haki yao kuamua ikiwa inafaa kuonekana ama kutokuonekana popote mahakamani. Hata majuzi tu kule ICC kwenye kesi zilizowakabili Raisi uhuru kenyata na william Ruto, hakuna shahidi alionekana ndani au nje ya mahakama, kwasababu ni haki yao kuamua kuonekana ama kutokuonekana.

kesi ya huyo kibaraka muhaini inamuhusu yeye binafsi na wengine ambao soon nao watahitajika mahakamani. Huna haja kupiga ramli na kuhusisha wasio husika :NoGodNo:
Sawa, sie yetu ni macho.
 
Sawa, sie yetu ni macho.
tena urelax kabisa, na utulie kabisa katika kujifunza, kuongeza uelewa na ufahamu juu ya mambo mbalimbali ya kisiasa humu nchini, right gentleman? :NoGodNo:
 
Ccm Ina mazuzu mengi sana
Huyo sio CCM huyo ni chawa,
Kama kuna kitu CCM kinatuharibia ni uwepo wa machawa.
Wakati wenzetu wanaweka hoja sisi CCM anatokea chawa analeta upuuzi.
Wanaitukanisha CCM mbele ya Umma.
😭😭😭
 
Mtoa mada ni msomi mzuri na mwandishi mzuri Sana ... MUNGU akubariki ndugu yangu
 
Back
Top Bottom