Gentleman,
haki anayostahili muhaini Lisu ni jela, kunyongwa hadi kurest in pisi, hakuna kingine.
suala la maridhiana ni la waTanzania raia wema tu, wahalifu ikiwa ni pamoja na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mamaluki wao inafaa waendelee kusote korokoroni kulingana na uhalifu wao mpaka pale mahakama itakavyoamua vinginevyo.
hakuna haja ya porojo na upotoshaji kwenye suala la maridhiano eti ili yafanyike lazima sijui kibaraka au nani awepo ndio yafanyike, huo ni upotoshaji and that's completely nonsense