Afadhali umekubalikuwa unaugomvi nae...Je Lema ni wa kwanza -Mwisho kumnadi mgombea wa cha tofauti na cha kwake....? lema alisha jibu swali hili kwenye mkuta uliofanyika mbaunda soko alisema kuwa chama chake walisimamisha mtu hata darasa la kwanza sijui kama alikuwa akajaribu kuwa shauri wakakataa ndipo alipo amua kumkapenia Mawazo nalenda mbalizaidi kwa kuomba mamaha kama aliwakosea pia siku hiyo alijibu swali lako la kuwa 2005 aliuza ubunge kwa mil 30....baada ya kujibu hukuonekana hapa jukwaani, ukahamia kwenye elimu likaja likajibiwa...[1] Kifupi sana ugomvi wangu na Lema ulianza pale alipomnadi diwani wa CCM kata ya Sombetini Bwana Mawazo.Bwana Mawazo alikuwa diwani wa TLP akshiriki kumchomoa kipindi hicho Lema alikuwa mwenyekiti wa umoja wa vyama vya upinzani Arusha..
Feedback, wewe tunajua ni nyumba ndogo ya Mbowe unaweza kuongea chochote ndani ya CDM! Hongera mama kwa kuisaidia CDM hata hivyo pesa si anatoa mzee then anakupa wewe ndio unawapa BAVICHAWewe unapotunziwa mkeo na Nepi unafikiri wote wako hivyo, mimi sitegemei CDM inifanyie kitu mimi ndio natakiwa niisaidie Chadema.
hahahaha....ni ulimbukeni....vipi anatinga mahakamani na mtoto wa kisomali au atakuwa na chata ya Richmond...Huyu ndiyo mratibu wa mbunge wa Arusha Mheshimiwa Lema wakati mwingine namlaumu Lema bure kumbe wasaidizi wake wanastahili lawama !.Unajua jambo unaloshabikia au ndiyo ulimbukeni.
Dunia ya leo huwezi kufija jambo lililoongelewa kwenye kadamnasi kesho si yako magazetini mkuu...mkuu mimi chadema lakini ninaporipoti huwa natoa nicho kisikia....MS nadhani sasa utakubalina na mimi kuna mengi zaidi ya hesabu tafadhali pitia thread yote utabaini mengi ingawa Crashwise kajitahidi kuficha mwishowe kaweka mabo hadharani.
Ngongo nakushukuru sana kwa maelezo yako, kwa hali hii ni lazima nikiri kwamba wewe ni mtu wa karibu sana, tena sana na Lema.
Kwanini hukujaribu kumweleza udhaifu wake kabla hujaamua kuja kumlalamikia hapa jamvini? Huoni kwamba ukaribu wako ungekuwa wa manufaa kama ungemwelewesha udhaifu wake na namna ya kujirekebisha? yeye kama walivyo binadamu wengine, kufanya makosa ni sehemu ya maisha.
Kama kumbukumbu yangu bado iko vizuri issue ya general tyre Lema ameizungumzia akiwa mbunge tayari, sasa kama alikuamini hadi kuendelea kukutumia kutokana na ukaribu wenu na uaminifu wake kwako, inbakuwaje tena unamgeuka namna hii?
Suala la mawazo nakubaliana nawe kwamba haikuwa sahihi kwa Lema "kumuuza" kwa magamba lakini napata shida kukuelewa na kuelewa mantiki ya kusema Lema alimuuza mawazo kwa magamba, kwa bei gani? mawazo hawezi kufanya uamuzi wake binafsi hadi Lema amuamlie? na kama mawazo anafanya kile Lema anachomuelekeza, mbona sasa bado yuko chama cha magamba na hajaungana na Lema Chadema? ama unataka kunithibitishia kwamba Lema hajamshauri mawazo kuhamia chadema?
pamoja mkuu...ingawa kesho itakuwa chemba ila nitajitahidi kufatilia kujua kitakachoendelea...Well done.......! appreciated. nakushukuru sana kamanda Crashwise kwa jinsi unavyotuweka updated. Kwangu mimi hii ndo msg ya kuijibu baada ya kufuatilia mtirirko wa taarifa,zingine zote zipo nje ya "fact in issue". jioni njema na tunakutegemea tena kesho mechi ikianza.
sina haja ya kuwa msatarabu kwa kenge kama wewe, nenda kajipange uje na majibu na umshauli Batilda ampeleke mtoto kwenye vipimo vya DNA ilitujue ni wa EL, Msomali, au Mzanzibar angalau huku akiandaa kufungua kesi ya madai kama haijapitwa na muda....Mwita Maranya unajua ukimwondoa mtani wangu wa jadi PakaJimmy labda wewe tunaweza kukaa na kujadiliana atleast una ustaharabu
kidogo tofauti na magwanda wengine wasiotaka kusikia mtu wao akikosolewa zaidi ya kusifiwa hata kama sifa zenyewe hazimstahili.Nimekusoma muda umekimbia sana nakwenda kupata maji kidogo unajua tena kiu kesho nitakujibu bila kuacha neno hata moja.
Mwita Maranya unajua ukimwondoa mtani wangu wa jadi PakaJimmy labda wewe tunaweza kukaa na kujadiliana atleast una ustaharabu
kidogo tofauti na magwanda wengine wasiotaka kusikia mtu wao akikosolewa zaidi ya kusifiwa hata kama sifa zenyewe hazimstahili.Nimekusoma muda umekimbia sana nakwenda kupata maji kidogo unajua tena kiu kesho nitakujibu bila kuacha neno hata moja.
sina haja ya kuwa msatarabu kwa kenge kama wewe, nenda kajipange uje na majibu na umshauli Batilda ampeleke mtoto kwenye vipimo vya DNA ilitujue ni wa EL, Msomali, au Mzanzibar angalau huku akiandaa kufungua kesi ya madai kama haijapitwa na muda....
Comrade Ngongo! Nakuheshimu sana kwa maneno yako ya hekima na yenye busara, unachosema ni kweli kuhusu huyu bibie.Nina kila sababu ya kukuweka kundi la wajinga hujui kitu unajidai unajua Nanyaro yupo hapa nina hakika kasoma niliyoandika kakaa kimya wewe ni nani ?.Rejea bandiko la PakaJimmy yamkini utaelewa na kuacha uropokaji na ushabiki maandazi.
hata kusoma sijasoma!<font size="3"><span style="font-family: lucida console"><b><br />
Birigita kuna uwezekano wewe ni nyumba ndogo ya Lema,shangazi yake,mama mdogo,mama mkubwa,shemeji yake,mke wake na nk.Huna mamlaka ya kutukataza kumjadili maadamu yeye ni mbunge wetu [public office].Nina kila sababu ya kukuweka kundi la wajinga hujui kitu unajidai unajua Nanyaro yupo hapa nina hakika kasoma niliyoandika kakaa kimya wewe ni nani ?.Rejea bandiko la PakaJimmy yamkini utaelewa na kuacha uropokaji na ushabiki maandazi.</b></span></font>
sina haja ya kuwa msatarabu kwa kenge kama wewe, nenda kajipange uje na majibu na umshauli Batilda ampeleke mtoto kwenye vipimo vya DNA ilitujue ni wa EL, Msomali, au Mzanzibar angalau huku akiandaa kufungua kesi ya madai kama haijapitwa na muda....
hata kusoma sijasoma!
Shukuru mungu unapata hela ya kununua sarawili kwa kutumiwa hovyo, angalao ww hununuliwi sarawili kama boss wenu.
Siku zote ulalamishi wako juu ya Lema tangu uchaguzi haujaanza unaonyesha Lema alishakusaidia kazi za chumbani wewe.
Crashwise, taratibu mkuu Ngongo ni mtani wa jadi.
Mpeleke taratibu tu, siku moja atavaa gwanda, usiwe na presha naye maadam yuko arusha moto wenu anauona mwenyewe bila kusimuliwa.
kwakuwa sitafuti mke, sina sababu ya kukushangaa, hao mahawara zenu watakapo waacha mtajua kuwa kujificha nyuma ya key board hakuwasaidii.Comrade Ngongo! Nakuheshimu sana kwa maneno yako ya hekima na yenye busara, unachosema ni kweli kuhusu huyu bibie
mtoto wa kiume unalalamika tangu kabla ya uchaguzi, umepiga propaganda sasa naona huna jipya. Unarudia tu!<font size="3"><span style="font-family: lucida console"><b>Mijitu ya Ungalimited mtaa wa jambazi utaijua tu.</b></span></font>
Mkuu magwanda siwezi vaa hata siku moja yanatisha ebu badilikeni hata wachina zile suti za Chuen lai wamezirejesha makumbusho bwahhaaa haaaa aaa.