KESI YA KITILYA: Mahakama Kuu yatupilia mbali rufaa ya DPP

Ndio tatizo la kuajiri vilaza serikalini huku wakiacha vichwa wanaajiriwa na sekta binafsi. Hii ipo tofauti na nchi nyingi zilizoendelea duniani ambapo 'vichwa' huchukuliwa na serikali kwanza. Nchii hii utaratibu wa vilaza kuwa mpaka kiongozi mkuu ndio uliotupelekea huku
Siyo hivyo tu, watu ambao ni MORE capable, hawawezi kufanyakazi kwa salary kiduchu huko Serikalini. Ili uishi vema uwe mtoro kazini au ufanye mambo ya ovyo, hivyo watu makini hujitoa serikalini. Sababu kuu ni mishahara midogo, ili uweze kujikimu lazima ufanye mambo ya kifisadi, tatizo linaanzia hapo. Sasa kwa watu waadilifu, hupenda kujiajiri au kuajiriwa sekta binafsi.
 
Ndio tatizo la kuajiri vilaza serikalini huku wakiacha vichwa wanaajiriwa na sekta binafsi. Hii ipo tofauti na nchi nyingi zilizoendelea duniani ambapo 'vichwa' huchukuliwa na serikali kwanza. Nchii hii utaratibu wa vilaza kuwa mpaka kiongozi mkuu ndio uliotupelekea huku
kazi ipo,which is which,ina maana ofisi ya DPP ni vilaza?i just don't get it
Sidhani kama shida ni ukilaza wa DPP au wana sharia wa serikali; ukiitazama hi case yaweza kufanana na ile ya Profesa Mahalu; nahisi wadogo ndio wamepelekwa mahakamani while wahusika wakuu wameachwa, mwishoni mwa siku yaweza kua aibu. Hebu na tusubiri mchezo utakavyo kua. Tukumbuke na wao hawajaanza kusema walipewa mamlaka ya hayo walioyafanya na NANI!
 
Hawawezi kulipa faini za mahakama, lakini fedha za ESCROW walisema si za serikali! ha ha ha ha.
 
Kuna mijitu ya ajabu ajabu kweli Lissu alipokuwa anagawa dose mjengoni vilaza wengi hawakumwelewa sasa taratibu dose inawahingia na muda si mrefu mtapona gonjwa la ujinga,ushabiki,pupa,papara,sifa za kijinga na magonjwa mengine yanayofanana na hayo.
 
Sidhani kama shida ni ukilaza wa DPP au wana sharia wa serikali; ukiitazama hi case yaweza kufanana na ile ya Profesa Mahalu; nahisi wadogo ndio wamepelekwa mahakamani while wahusika wakuu wameachwa, mwishoni mwa siku yaweza kua aibu. Hebu na tusubiri mchezo utakavyo kua. Tukumbuke na wao hawajaanza kusema walipewa mamlaka ya hayo walioyafanya na NANI!

Mi nakuambia na ukilaza wa DPP unachangia. Sasa kama unajua walipewa maelekezo na nani kwa nini uwafungulie kesi wao ilhali unajua aliyetoa maelekezo hawezi kushtakiwa?
 
Mkuu, kwani hukumu imeisha toka?
Nilivyoelewa ni kuwa hukumu bado, ila Mahakama kuu imetupilia mbali rufaa ya ofisi ya DPP iliyopinga kufutwa kwa shitaka la 8(kama sikosei), lililohusu kutakatisha fedha, ambapo kwa kufutwa shitaka hilo, yanabaki mashataka7, na hivyo washatakiwa wanakuwa na haki ya kupata DHAMANA.
 
Mbunge Zito Kabwe alimuuliza Waziri Mkuu Majaliwa.

Wapo wapi wale wafanyakazi wa BOT na Hazina waliousika kwenye hii dili? Mbona wao hawakamatwi?

Waziri Mkuu akaishia kutoa mimacho tu.

Usicheze kabisa na Jaaa Kayaaa...
Hata PM mwenyewe kuna mahali anabaki bila majibu kwa maswali magum....nchi ikiongozwa kwa mzuka ...Viongozi hujb kimizuka.....
 
Mleta uzi kufanya marekebisho ya shtaka hilo au kuedelea na utaratibu ulokuwa unaendelea. Tuweke sawa hapo.
 
Hawa jamaa hawana kesi
Kila walichofanya ni within the rules na ndani ya sheria

Kama.kesi ipo itakuwa ya TRA kama hawakuliona kodi kwenye huo mgao wao

Binafsi sioni kesi hapo
 
Back
Top Bottom