Kesi ya Joshua (mkenya wa kova)

Huyo MK atakuwa wa kichina kweli, sasa kama ni yeye aliyehusika moja kwa moja, si awataje wenzake? Ok kakana kuwa si yeye...hiyo nayo ni haki yake kisheria lakini polisi wanaendelea kumtafuta nani..........Jamani KOVA hajawahi kufika The Hague.....ila anweza kujikuta huko bila kutarajia....

Kama KANU iliangushwa na "CHUNGWA" kule Kenya, ilikuwa kama utani vile. CHUNGWA nalo lilipoanza kuleta mizengwe na kuwaacha baadhi ya viongozi matatani akiwamo bosi wa POLISI, vipi isiwe KOVA. Hakuna haja ya kutoiambia jamii ukweli na hakuna MTZ wa kudanganywa tena...ati MK kakamatwa, kesho utasikia ameyeyuka kimya kimya.

Moreno Ocampo hayuko, kamuachia dada yetu wa Gambia....unataka kusema atasamehe maovu kienyeji enyeji tu huku naye ana uchungu na ndugu zake wa Gambia kwa yale waliyoyapitia?....

No way out!!!! siogopi Ban au mwongozo wa spika eti atanitoa nje ya bunge nikaote jua, na wala sitafuta kauli ya kweli "'KUHUSU NINI KILICHONIFIKISHA HAPA NILIPO LEO"'...
 
taifa lina majonzi ya kufiwa na wenzetu zaidi mia moja,we unatuletea makengeza yako hapa,hebu jieshimu basi ndugu.
Kwani ukifiwa dunia inasimama? Mambo mengine lazima yaendelee. Hata walipotangaza siku tatu za maombolezo hawakusema tusimamishe shughuli zote.
 
Kwani ukifiwa dunia inasimama? Mambo mengine lazima yaendelee. Hata walipotangaza siku tatu za maombolezo hawakusema tusimamishe shughuli zote.

Hakika si kwa busara uulizavyo hivi,
siku ukifiliwa usihesabu waliohudhuria msibani.
 
Back
Top Bottom