Je kulisemwa nini na muhimu? Dataz za wakati ule nz za sasa unaweza kukuta ziko tofauti na hivyo kila kitu kuwa na sura tofauti. Mie wakati ule sikuwemo humu ndani ya JF. Ukiweza tujulishe kwa mbalimbali maana hata mimi nilisikia kuwa ule wimbo wa Seya tutoke wote ambazo Nguza anamvalisha mtoto PETE ulisababisha yote haya.
Mmh sasa kwa nini huyo mwanamke hakutoa ushahidi .kusema anachokijua yeye jamani.kama ni kweli huyu baba kaonewa sana yeye na familia yake.Na hasa hao hao akina papiisawa kabisa kaka,ule wimbo ndio ulioitimisha mambo ingawa mambo yenyewe yalikuwa yanawaka kichini chini,yule mwanamke alikuwa mwanamke alikuwa kimada wa OMARY MAHITA,na bwana mkubwa alimpangia nyumba lakini baadae yule mwanamke akamtosa bwana mkubwa akawa anachukuliwa na babu seya(nguza),huo ndio ulikuwa mwanzo wa safari ya nguza na wanawe gerezani......!
Mmh sasa kwa nini huyo mwanamke hakutoa ushahidi .kusema anachokijua yeye jamani.kama ni kweli huyu baba kaonewa sana yeye na familia yake.Na hasa hao hao akina papii
Fairplayer, ningelitamani sana kama ungeliandika zaidi. Tatizo ni kuwa sijui wewe unachokiandika kina ukweli kiasi gani ila inabidi nikuamini. Sasa unasema kusoma mafaili, kwa mtu kama mie ninayeishi huko Sikonge, nitaweza kupata uwezekano wa kusoma? Ngoja tu nikuamini hivyo hivyo kwa hayo uliyoyasema ingawa kama mie Mahita angelikuwa kaka yangu, pia ningeliandika hivyo hivyo. Ngoja niuache u=THOMAS.Mtimti,
Bahati nzuri nilikuwa na maoni kama yako, nikaletewa faili, nakala, nzima ya kesi mpaka hukumu. Pamoja na mengine kweli jamaa waliwabaka wale watoto. Kuna vitu ambavyo wale watoto kama walitengenezwa wangeshindwa kuvijua au kuvikumbuka. Kama kabati ipo wapi etc.
Kasome jalada kaka upate ukweli. Hata hayo mmadai unayoleta hapa ni juu juu sana.
yule mwanamke alikuwa mwanamke alikuwa kimada wa OMARY MAHITA,
Hii habari hata mie kidogo imenishangaza maana zamani niliposikia ni kuwa huyu mtoto alikuwa akichukuliwa na GOGO la Tanzania ingawa siku hizo alikuwa na yeye ni moja ya Vigogo.Hapa umechanganya madawa mkuu, nenda ukaangalie tena vizuri ni kigogo gani hasa anayehusika.
Mtimti,
Bahati nzuri nilikuwa na maoni kama yako, nikaletewa faili, nakala, nzima ya kesi mpaka hukumu. Pamoja na mengine kweli jamaa waliwabaka wale watoto. Kuna vitu ambavyo wale watoto kama walitengenezwa wangeshindwa kuvijua au kuvikumbuka. Kama kabati ipo wapi etc.
Kasome jalada kaka upate ukweli. Hata hayo mmadai unayoleta hapa ni juu juu sana.
Kujua kabati liko wapi, sio kithibitisho kuwa wameabkwa, pengine walikwenda kucheza na wenzao, au mwalimu wao aliwapeleka pale kwa lengo jingine na si hilo la kubakwa. Vipimo vya Daktari je vinasemaje? Na kwa nini huyo mwalimu hakufungwa?
Mkuu vipi Mwalimu aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kuachiwa bila hatia, mbona hiyo inakuingia akilini?
Halafu ninaomba ufuatilie tena kwa makini je hawa wakongo bado wapo jela kweli, au? Msiwe mnakurupuka wakuu!

Mkuu Kichuguu hilo gazeti liliandikwa mwaka mmoja uliopita, sio miezi mitatu iliyopita angalia tena mkuu, ila mimi nimesema mara moja tu.
Guys ninarudia nimesoma faili zima. Jamaa walikuwa na hatia au niseme walikuwa wapumbavu kui9ngia kwenye mtego.
Kama ni mchongo waliingia kisawasawa. Naweza kuandika facts zaidi ila inategemea wewe una mtazamo upi.
Kumbuka hakimu anaangalia FACTS presented before him/her!!!! kuwa focused itakusaidia