Binafsi toka mwanzo wa kuifahamu kesi hii iliyojaa kila aina ya mbwembwe na umaarufu kwa sababu ya washtakiwa wenyewe siku zote na kwa mtazamo wangu na upande wa pili unisamehe ila imani yangu ni kwamba pale hakuna kesi zaidi ya siasa chafu na visasi vya kila aina,chuki na ubinafsi wa nafsi ndio vilivyofanya paka leo hii familia ya Nguza Viking ikiteseka bila sababu.Yashasemwa mengi sana kuwa kuna mlono wa mtu pale na hata ukiangalia mwenendo mzima wa kesi utakubaliana nami pasipo shaka kuwa pale kuna ujanja unaofanyika ingawa ni ngumu na siwezi kutibitisha moja kwa moja ila rai yangu na maombi yangu juu yao waweze kuwa huru tena na kama walifanya kweli basi uhuru wao hakika hautadumu huku uraiani...Mtazamo wangu binafsi.
Big up sana, kuna watu wanatoa hoja zao kwa kufata stori za vijiwe vya mtaani, ni hoja za kishabiki shabiki!Jamani jamani chonde chonde tusitoe hisia au kuendeshwa na mapenzi binafsi kwenye mambo yanayoaffect maisha ya watu wengine...wengi ambao uchangia swala hili uangalia upande mmoja tu ebu tuwe rational kama kweli tunataka kutoa mitazamo ya kisomi kama great thinkers tuangalia watuumiwa na waathirika.
Swali nalokuuliza we mtoa mada na wengine mnaochangia mada..."je umeshasoma mwenendo wa kesi (proceedings) hiyo pamoja na hukumu zote tatu ya kisutu,high court na CA
Ebu soma hizo afu leta maoni yako na sio hisia.
Hata mimi nilikua na mitazamo tofauti mwanzoni hila baada ya kupitia hizo hukumu kwa kina nina mtazamo tofauti sasa
Big up sana, kuna watu wanatoa hoja zao kwa kufata stori za vijiwe vya mtaani, ni hoja za kishabiki shabiki!
Ni kweli mkuu kwani kesi yenyewe ilihusisha watoto wa shule wa miaka 7 ambapo inasemekana Babu Seya na Watoto wake walijamiiana na hao watoto zaidi ya mara moja lakini cha ajabu wazazi hawakuweza kugundua kuwa watoto wao wameingiliwa na mijibaba kama hiyo kwani walikuwa wanacheza na kwenda shule kama kawaida.
hivi ni nani hasa aliempa kesi babu seya na wanae mbona hamtaji/hamuwataji mnaishia kulalamika tu
Jamani jamani chonde chonde tusitoe hisia au kuendeshwa na mapenzi binafsi kwenye mambo yanayoaffect maisha ya watu wengine...wengi ambao uchangia swala hili uangalia upande mmoja tu ebu tuwe rational kama kweli tunataka kutoa mitazamo ya kisomi kama great thinkers tuangalia watuumiwa na waathirika.
Swali nalokuuliza we mtoa mada na wengine mnaochangia mada..."je umeshasoma mwenendo wa kesi (proceedings) hiyo pamoja na hukumu zote tatu ya kisutu,high court na CA
Ebu soma hizo afu leta maoni yako na sio hisia.
Hata mimi nilikua na mitazamo tofauti mwanzoni hila baada ya kupitia hizo hukumu kwa kina nina mtazamo tofauti sasa
ooh, kumbe?? mimi sijui lolote ila nafsi yangu tu inaniambia wale wacongo wanaonewa. mtoto mdogo hawezi ingiliwa na mijitu mizima zaidi ya mmoja afu akaenda shule na mzazi asigundue
Kitu kilichoniumiza sana ni pale Mwl aliyetajwa kuwa alikuwa anawapeleka watoto kwa Babu Seya kisha wakati akitoa ushahidi wake Mwl aliiambia mahakama kwamba kamwe asihusishwe kwenye mambo ambayo hajawahi kufanya kwani yeye ni mlokole na hajawahi kuona wala kuwapeleka watoto kwa Babu Seya. Mahakama ikamuona hana hatia ikamwachia huru. Swali kama kulikuwa na Mwl aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kwa Babu Seya ni Mwl yupi huyo kama huyu hakuwa na hatia japo mwanzo alionekana ndiye, tena aliiumbua mahakama kuwa hajawahi kusikia kitu kama hicho. Hospital watoto walipimwa ikaonekana hawajaingiliwa kwa vyovyote dokta akatimuliwa akaitwa mwingine kuandika PF3 kuwa waliingiliwa akafanya hivyo muziki usio na mchezaji ukaendelea.
the world is not fair
Jamani jamani chonde chonde tusitoe hisia au kuendeshwa na mapenzi binafsi kwenye mambo yanayoaffect maisha ya watu wengine...wengi ambao uchangia swala hili uangalia upande mmoja tu ebu tuwe rational kama kweli tunataka kutoa mitazamo ya kisomi kama great thinkers tuangalia watuumiwa na waathirika.
Swali nalokuuliza we mtoa mada na wengine mnaochangia mada..."je umeshasoma mwenendo wa kesi (proceedings) hiyo pamoja na hukumu zote tatu ya kisutu,high court na CA
Ebu soma hizo afu leta maoni yako na sio hisia.
Hata mimi nilikua na mitazamo tofauti mwanzoni hila baada ya kupitia hizo hukumu kwa kina nina mtazamo tofauti sasa
Watu tunaropoka sana. Ukiambiwa ulete ushahidi kuwa babu seya alisingiziwa huna,unabaki kuokoteza maneno ya mitaani eti jk anahusika. Kina babu seya sio malaika mjue. Tunaongozwa na hisia tu. Kama kweli waliwabaka watoto.waozee huko huko ndani
Samahani, ningependa kujua, kwani walikutwa wapi halafu nani aliwaona kama mwenzagu unahabari kidogo kuhusu tetec hiyo.Ni kweli mkuu kwani kesi yenyewe ilihusisha watoto wa shule wa miaka 7 ambapo inasemekana Babu Seya na Watoto wake walijamiiana na hao watoto zaidi ya mara moja lakini cha ajabu wazazi hawakuweza....
Kitu kilichoniumiza sana ni pale Mwl aliyetajwa kuwa alikuwa anawapeleka watoto kwa Babu Seya kisha wakati akitoa ushahidi wake Mwl aliiambia mahakama kwamba kamwe asihusishwe kwenye mambo ambayo hajawahi kufanya kwani yeye ni mlokole na hajawahi kuona wala kuwapeleka watoto kwa Babu Seya. Mahakama ikamuona hana hatia ikamwachia huru. Swali kama kulikuwa na Mwl aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kwa Babu Seya ni Mwl yupi huyo kama huyu hakuwa na hatia japo mwanzo alionekana ndiye, tena aliiumbua mahakama kuwa hajawahi kusikia kitu kama hicho. Hospital watoto walipimwa ikaonekana hawajaingiliwa kwa vyovyote dokta akatimuliwa akaitwa mwingine kuandika PF3 kuwa waliingiliwa akafanya hivyo muziki usio na mchezaji ukaendelea.
Una hoja Mkuu, lakini mpaka kufika kijiweni hizo stories ni kwamba zilitoka mahali fulani kama tip/clue aalafu watu wakazileta kijiweni, kifupi kila lililopo kijiweni lina source mahali fulani. La maana katika kesi hii tuiachie mahakama itoe maamuzi, la sasa la kujiuliza ni kwanini kesi hii irudiwe mara zote hizi? hata kesi ile ya uhaini baada ya kufanyiwa maamuzi hatukuona rufani zikifuata ila hii tunaona hilo, pengine kuna kitu ndiyo maana hatupaswi kuhukumu sisi bali tuaache mahakama ifanye kazi yake.Big up sana, kuna watu wanatoa hoja zao kwa kufata stori za vijiwe vya mtaani, ni hoja za kishabiki shabiki!
Ingekuwa nchi za wenzetu huyu Mwalimu angekuwa MSHITAKIWA NAMBA MOJA, na siyo SHAHIDI kama ilivyokuwa hapa Tanzania. Nashangaa kifungu kilichotumika kumwachia mshakiwa huyu namba moja.
SOMA ANGALAU HAPA
Kitu kilichoniumiza sana ni pale Mwl aliyetajwa kuwa alikuwa anawapeleka watoto kwa Babu Seya kisha wakati akitoa ushahidi wake Mwl aliiambia mahakama kwamba kamwe asihusishwe kwenye mambo ambayo hajawahi kufanya kwani yeye ni mlokole na hajawahi kuona wala kuwapeleka watoto kwa Babu Seya. Mahakama ikamuona hana hatia ikamwachia huru. Swali kama kulikuwa na Mwl aliyekuwa akiwapeleka watoto hao kwa Babu Seya ni Mwl yupi huyo kama huyu hakuwa na hatia japo mwanzo alionekana ndiye, tena aliiumbua mahakama kuwa hajawahi kusikia kitu kama hicho. Hospital watoto walipimwa ikaonekana hawajaingiliwa kwa vyovyote dokta akatimuliwa akaitwa mwingine kuandika PF3 kuwa waliingiliwa akafanya hivyo muziki usio na mchezaji ukaendelea.
kwa hyo unaihisi hukumu yao ni halali?tupe data usitoke povu tu hapaTatizo la wabongo tunapenda kuhukum mambo kwa kutumia hisia na ushabiki HIV ni nan mwenye uhakika kwa asilimia Mia kwmba babu seya na nguza walisingiziwa? Hii yote inatokana na umaarufu wao kabla ya tukio hilo lait wangekuwa watu wa kawaida wala msingetokwa na povu kias hiki watanzania tumekuwa na huruma sna has kwa mtu am aye amefanya kosa kwel hii huruma yetu imeingia mpk kwny mfumo wetu wa sheria tht y unamuona lulu uraian huruma imefanya mpk mafisad kuachiwa au kufungwa kwa miaka midogo gerezan achanen na reference ambazo hazina mashiko tupen data za kutosha zioneshe kwel hawa jamaa walisigiziwa