Wanajukwaa,
Huku Ifakara leo mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, LIJUALIKALI mbunge anayesubiri kuapishwa anangojea hukumu!
Alikuwa diwani anayemaliza muda wake, ametokea kupendwa sana na wananchi kwa utendaji wake lakini amepingwa vikali na kupambana na halmashauri ambayo imekuwa ikikandamiza wananchi,!
Cha kushangaza magari ya FFU na mabomu ya machozi na magari ya kuwasha yametandazwa mjini hapa Ifakara, wananchi wamejaaa mno wanasema kuna nini kwa mbunge wao mtarajiwa? Hofu imetanda na wanasema kufa kupona hawatokubal uonevu!!!!
Ntawaletea updates zaidi ila mji huu unasifika kwa mapambano kati ya polisi na wananchi mara nyingi kijana huyu amewekwa ndani akiwa diwani lakini Umma unalipuka na kuvamia polisi na kumwachia!!!,
Ni katika udiwani wake alitetea wananchi na kuchukiwa na mtendaji wa wilaya mpaka mtendaji akahamishwa.
Ni kijana aliyeibua ufisadi wa kutisha halmashauri. Kwa ufupi ana vita kali na uongozi wa halmashauri.
Nguvu za polisi zimeongezwa, polisi wameletwa toka Mang'ula tayari kupambana kwa lolote baada ya hukumu!
Maduka yamefungwa,wanafunzi wamerudi nyumbani, wenye magari wamerudisha nyumbani, wananchi wamekaa tayari kusubiri hukumu.
Updates zipo njiani, ahsante
UPDATES
MBUNGE alihukumiwa kifungo cha nje kwa miezi sita!!!!!!!Ahsante