Kesi inayomkabili mgombea Ubunge wa Ifakara Lijualikali (CHADEMA) kutolewa hukumu leo

REYRO

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
968
244
Wanajukwaa,

Huku Ifakara leo mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, LIJUALIKALI mbunge anayesubiri kuapishwa anangojea hukumu!

Alikuwa diwani anayemaliza muda wake, ametokea kupendwa sana na wananchi kwa utendaji wake lakini amepingwa vikali na kupambana na halmashauri ambayo imekuwa ikikandamiza wananchi,!

Cha kushangaza magari ya FFU na mabomu ya machozi na magari ya kuwasha yametandazwa mjini hapa Ifakara, wananchi wamejaaa mno wanasema kuna nini kwa mbunge wao mtarajiwa? Hofu imetanda na wanasema kufa kupona hawatokubal uonevu!!!!

Ntawaletea updates zaidi ila mji huu unasifika kwa mapambano kati ya polisi na wananchi mara nyingi kijana huyu amewekwa ndani akiwa diwani lakini Umma unalipuka na kuvamia polisi na kumwachia!!!,

Ni katika udiwani wake alitetea wananchi na kuchukiwa na mtendaji wa wilaya mpaka mtendaji akahamishwa.

Ni kijana aliyeibua ufisadi wa kutisha halmashauri. Kwa ufupi ana vita kali na uongozi wa halmashauri.

Nguvu za polisi zimeongezwa, polisi wameletwa toka Mang'ula tayari kupambana kwa lolote baada ya hukumu!

Maduka yamefungwa,wanafunzi wamerudi nyumbani, wenye magari wamerudisha nyumbani, wananchi wamekaa tayari kusubiri hukumu.

Updates zipo njiani, ahsante

UPDATES

MBUNGE alihukumiwa kifungo cha nje kwa miezi sita!!!!!!!Ahsante
 
lijualikali ndiye mbunge wetu sasa! Apa kakaba nafasi ya kafulila kumbe ukawa hatujapotesa kitu
 
Lijuakali ni shujaa wa morogoro ! Kuna kila dalili dhambi ya uoga itafutika morogoro .
 
Hii tabia ya kuhamasisha vurugu muiache. . . . .Eti wananchi wanavamia kituo cha polisi na kumuachia, wananchi wanasema kufa kupona. . . . .!!!

Kwani ukiandika tu kistaarabu kosa alilopelekewa mahakamani na mengine bila harufu ya uchochezi itakuwaje??!!!

Baada ya yote haya uliyoeleza wewe mwenyewe unashangaa FFU, mabomu ya machozi na kikojozi kuongezwa???!!!
 
Wanajukwaa,

Huku Ifakara leo mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, LIJUALIKALI mbunge anayesubiri kuapishwa anangojea hukumu!

Alikuwa diwani anayemaliza muda wake, ametokea kupendwa sana na wananchi kwa utendaji wake lakini amepingwa vikali na kupambana na halmashauri ambayo imekuwa ikikandamiza wananchi,!

Cha kushangaza magari ya FFU na mabomu ya machozi na magari ya kuwasha yametandazwa mjini hapa Ifakara, wananchi wamejaaa mno wanasema kuna nini kwa mbunge wao mtarajiwa? Hofu imetanda na wanasema kufa kupona hawatokubal uonevu!!!!

Ntawaletea updates zaidi ila mji huu unasifika kwa mapambano kati ya polisi na wananchi mara nyingi kijana huyu amewekwa ndani akiwa diwani lakini Umma unalipuka na kuvamia polisi na kumwachia!!!,

Ni katika udiwani wake alitetea wananchi na kuchukiwa na mtendaji wa wilaya mpaka mtendaji akahamishwa.

Ni kijana aliyeibua ufisadi wa kutisha halmashauri. Kwa ufupi ana vita kali na uongozi wa halmashauri.

Nguvu za polisi zimeongezwa, polisi wameletwa toka Mang'ula tayari kupambana kwa lolote baada ya hukumu!

Maduka yamefungwa,wanafunzi wamerudi nyumbani, wenye magari wamerudisha nyumbani, wananchi wamekaa tayari kusubiri hukumu.

Updates zipo njiani, ahsante

Mbona umepotea kabisa, hakuna updates zozote? Alifungwa au aliachiwa?
 
Hii tabia ya kuhamasisha vurugu muiache. . . . .Eti wananchi wanavamia kituo cha polisi na kumuachia, wananchi wanasema kufa kupona. . . . .!!!

Kwani ukiandika tu kistaarabu kosa alilopelekewa mahakamani na mengine bila harufu ya uchochezi itakuwaje??!!!

Baada ya yote haya uliyoeleza wewe mwenyewe unashangaa FFU, mabomu ya machozi na kikojozi kuongezwa???!!!

Mkuu kweli huku ni kuhamasisha vurugu na kale kasheria ka mtandao kanaweza kasimwache salama. Hivi hukumu kama ni mahakama inapingwa kwa maandamano ama ni kwa kukata rufaa kama hujaridhika.
 
Tembea mbele
 
unatia aibu sasa unamtisha nani et kasheria??????

Kama waliandamana siruhusiwi kurepot?????
Au imekuuma shoga ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom