Kesi dhidi ya JamiiForums zaelekea hatua mpya: Asanteni watanzania, asante wana JF!

Endelea kutulinda mkuu mana ukiviolate sheria za kutunza siri za wateja wako (sisi) utatutisha kuibua mapya kwa mustakabali wa taifa.
Wala sina shaka na wewe nikuamini kamanda .
Best wishes tuko pamoja.
 
Mbona umeandika kiuwogauwoga? Kuna haja gani ya kumstahi mtu asiyejistahi?

Kama dot com nalo ni kosa siku hizi na wamkammate na huyu www.millardayo.com.

Pumbavu kabisa.
 

kwa hiyo sasa uko upande wa JF dhidi ya upande wa serikali ya magufuli?! unapinga juhudi za rais eti!
 
Tuko pamoja Mkurugenzi kwa sasa Jamii forum pekee ndio chombo ambacho watu wako huru kuzungumza maoni yao bila kuvunja sheria za nchi.

Nawatakia kila la kheri katika mchakato wa kesi hizo na InshaAllah Mwenyezi Mungu atakuwa Upande wa Haki.
Nawaza bila forum hii nyongo zetu sijuwi wapi tungezitoa
 
Mi nataka nije kupiga selfie na wewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…