Keshokutwa serikali kuanza mazungumzo na Barrick Gold Mine

Leo wilayani Chato, wakati akipokea nyumba za watumishi wa afya, zilizotolewa na taasisi ya Benjamini Mkapa

Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, amesema serikali keshokutwa itaanza mazingumzo na kampuni ya Barrick Gold Mine
Na wewe ukamuamini??

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
ACACIA wameshajibu kila kitu(kila tuhuma) sasa sijui tunategemea nini na isitoshe wameshaweka wazi kila kitu kitakachokubaliwa lazima na wao wakikubali kwanza kabla ya kutekelezwa.
So unaomba Mungu Tanzania ishindwe au?dah tuna safari ndefu sana kama hawa ndio vijana wa Taifa la Kesho wenye chuki iliyopitiliza kwa nchi yao Mwenyenzi Mungu atusaidie. ..inaumiza sana sana...hii Nchi ni yetu sote usije ukajua unamkomoa JPM yeye hana cha kupoteza ana pensheni ya maisha na familia yake, anapambana kwa ajili ya maskini wa Kitanzania
 
ACACIA wameshajibu kila kitu(kila tuhuma) sasa sijui tunategemea nini na isitoshe wameshaweka wazi kila kitu kitakachokubaliwa lazima na wao wakikubali kwanza kabla ya kutekelezwa.
Sikuelewi. Nini maana ya kukubaliana. Kufikia concesus. Hata ungekuwa wewe mtu hawezi kuja tu na kukwambia lipa bila kucheki tatizo lilikuwa wapi na kuhakiki. Ili next tyme usije ukafanya makosa tena au ukadanganya tena. Tumia akili kufikiri sio miguu kamanda
 
ACACIA wameshajibu kila kitu(kila tuhuma) sasa sijui tunategemea nini na isitoshe wameshaweka wazi kila kitu kitakachokubaliwa lazima na wao wakikubali kwanza kabla ya kutekelezwa.
Hivi una akili wewe. Wewe ndio reporter wa acacia au. Acha upumbaf.. watu kama nyinyi ningekuwa rais mimi sijui mngeishi wapi. Wala duniani kusingewafaa kuishi asilani....
 
Mi napenda kujua hayo mazungumzo yao yatanisaidia vipi mm mlalahoi....

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
ACACIA wameshajibu kila kitu(kila tuhuma) sasa sijui tunategemea nini na isitoshe wameshaweka wazi kila kitu kitakachokubaliwa lazima na wao wakikubali kwanza kabla ya kutekelezwa.
Unakichwa cha kunguni..ndo maana Rais mstaafu Mkapa unakuita "pumbavu" na siyo mjinga.

Ulitarajia watekeleze bila ya kuwa wamekubali. Nini ingekuwa au itakuwa maana ya mazungumzo sasa...

Kwenye mazungumzo kuna either;

1) compromise
Au
2) Resolution

Kila moja hapo lina matokeo yake na haimaanishi kwamba mmoja;

a) aki- compromise, au;

b) resolution ikifikiwa then mmoja atatekeleza makubaliano hayo huku hataki.

Atatekeleza kwa makubaliano fulani kama ni compromise na kama ni resolution ina maana kila kitu kiko sawa kabisa... interests are equally balanced and everyone is happy with the results of the negotiations...

Rudi shule ndo uje kutapika upuuzi humu...

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom