Kesho vikao vya bunge vitaanza Dodoma. Wabunge wazalendo ulizeni maswali haya kwa mawaziri...

Wabunge wazalendo wanaotetea maslahi ya wananchi na watumishi wa umma muulizeni waziri wa utumishi wa umma na utawala bora angellah kairuki maswali haya bungeni.

01: lini serikali itawarudisha kazini watumishi 3000 walioajiriwa mwezi June 2016 wakiwemo watumishi wa mahakama 348 walioajiriwa mwezi June 2016 walipewa mikataba ya kazi na walianza kufanya kazi kwenye mahakama zetu baada walipewa barua za kusitishiwa ajira kwa mda usiojulikana hao watumishi walipewa pesa za kujikimu waliporiti kazini mpaka sana imepita miezi nane toka wasimamishwa kazi na serikali ipo kimya

je Lini watarudishwa kazini na kulipwa stahiki zao ? Lini serikali itaheshimu mikataba ya kazi kwa watumishi wa umma ? Itaacha lini kusimamisha watu kazi bila makosa ?

02: lini serikali itaruhusu uhamisho wa watumishi wa umma ? Ili waruhusiwa kuhama maana kuhama ni haki yao ya kisheria mpaka sasa uhamisho wa kuhama kituo umesimamishwa.

03: lini serikali itaanza kupandisha watu madaraja na kuwalipa madeni yao ? Maana mpaka sasa jambo hili limesimama

04: lini serikali itaanza kutoa ajira mpya maana mpaka sasa zimesimamishwa

05: lini zoezi la uhakiki wa watumishi hewa litaisha ? Maana limekuwa kero kwa watumishi wa umma.

Nawaomba wabunge wote wazalendo na watetezi wa wanyonge kuuliza maswali Haya ili kuweza kuokoa taifa na kutoa utata kwa wananchi
Lini serikali itaruhusu uhamisho? Maana ndoa za watu zipo hatarini kuvunjika!!!
 
Wabunge wazalendo wanaotetea maslahi ya wananchi na watumishi wa umma muulizeni waziri wa utumishi wa umma na utawala bora angellah kairuki maswali haya bungeni.

Nawaomba wabunge wote wazalendo na watetezi wa wanyonge kuuliza maswali Haya ili kuweza kuokoa taifa na kutoa utata kwa wananchi
Ukijibiwa uje uchukue gunia moja la mahindi.
 
Pia wabunge wazalendo msisahau kwa umoja wenu bila kujali itikadi zenu kuulizia sababu za mbunge mwenzenu kukaa lock up zaidi ya miezi 3 bila kusomewa shitaka linalimkabili
 
Wabunge wazalendo wanaotetea maslahi ya wananchi na watumishi wa umma muulizeni waziri wa utumishi wa umma na utawala bora angellah kairuki maswali haya bungeni.

01: lini serikali itawarudisha kazini watumishi 3000 walioajiriwa mwezi June 2016 wakiwemo watumishi wa mahakama 348 walioajiriwa mwezi June 2016 walipewa mikataba ya kazi na walianza kufanya kazi kwenye mahakama zetu baada walipewa barua za kusitishiwa ajira kwa mda usiojulikana hao watumishi walipewa pesa za kujikimu waliporiti kazini mpaka sana imepita miezi nane toka wasimamishwa kazi na serikali ipo kimya

je Lini watarudishwa kazini na kulipwa stahiki zao ? Lini serikali itaheshimu mikataba ya kazi kwa watumishi wa umma ? Itaacha lini kusimamisha watu kazi bila makosa ?

02: lini serikali itaruhusu uhamisho wa watumishi wa umma ? Ili waruhusiwa kuhama maana kuhama ni haki yao ya kisheria mpaka sasa uhamisho wa kuhama kituo umesimamishwa.

03: lini serikali itaanza kupandisha watu madaraja na kuwalipa madeni yao ? Maana mpaka sasa jambo hili limesimama

04: lini serikali itaanza kutoa ajira mpya maana mpaka sasa zimesimamishwa

05: lini zoezi la uhakiki wa watumishi hewa litaisha ? Maana limekuwa kero kwa watumishi wa umma.

Nawaomba wabunge wote wazalendo na watetezi wa wanyonge kuuliza maswali Haya ili kuweza kuokoa taifa na kutoa utata kwa wananchi
Safi sana Mkuu
 
Shida sio kuuliza tu, utarizika na majibu?

Kama huna uhakika wa kurizika na majibu yatakayotolewa, meza kwanza dawa ya kutuliza maumivu then fuatilia bunge.
 
Wasipojibu kiuhakika tunawahukumu kwenye sanduku la kura hao mawaziri.Waibe kura za uraisi na kina lubuva.Lakini za ubunge tutazilinda!
 
Makato ya mkopo wa bodi kutoka 8% hadi 15% ilhali kwenye mkataba kati ya bodi na mkopeshwaji makubaliano yalikua 4%, hizi 11% zimeongezwa kwa makubaliano yapi? Kwanini hela ya mikopo kwa wanafunzi iwe na retention value wakati pesa anayokatwa mwajiriwa huyohuyo na NSSF/PPF inakaa huko hadi afikishe miaka 55 na hakuna any retention value.
mkuu haitasaidia kikubwa ni kuangalia njia mbadala walau hata kuanza vibiashara vidogo hata kuuza genge! kamwe hatutakiwi kuwategemea binadamu! its too late!
 
Hakika ni swali zuri maana ni kama wamekiuka mkataba tulio kubaliana nao na hata hawafanya makubaliano mapya ma wadaiwa ma badala yake wanataka kukata kwa nguvu.
 
Wabunge wazalendo wanaotetea maslahi ya wananchi na watumishi wa umma muulizeni waziri wa utumishi wa umma na utawala bora angellah kairuki maswali haya bungeni.

01: lini serikali itawarudisha kazini watumishi 3000 walioajiriwa mwezi June 2016 wakiwemo watumishi wa mahakama 348 walioajiriwa mwezi June 2016 walipewa mikataba ya kazi na walianza kufanya kazi kwenye mahakama zetu baada walipewa barua za kusitishiwa ajira kwa mda usiojulikana hao watumishi walipewa pesa za kujikimu waliporiti kazini mpaka sana imepita miezi nane toka wasimamishwa kazi na serikali ipo kimya

je Lini watarudishwa kazini na kulipwa stahiki zao ? Lini serikali itaheshimu mikataba ya kazi kwa watumishi wa umma ? Itaacha lini kusimamisha watu kazi bila makosa ?

02: lini serikali itaruhusu uhamisho wa watumishi wa umma ? Ili waruhusiwa kuhama maana kuhama ni haki yao ya kisheria mpaka sasa uhamisho wa kuhama kituo umesimamishwa.

03: lini serikali itaanza kupandisha watu madaraja na kuwalipa madeni yao ? Maana mpaka sasa jambo hili limesimama

04: lini serikali itaanza kutoa ajira mpya maana mpaka sasa zimesimamishwa

05: lini zoezi la uhakiki wa watumishi hewa litaisha ? Maana limekuwa kero kwa watumishi wa umma.

Nawaomba wabunge wote wazalendo na watetezi wa wanyonge kuuliza maswali Haya ili kuweza kuokoa taifa na kutoa utata kwa wananchi
acha tuisome number
 
Kweli maswali ulioandaa mazuri bilakusahau kuwa wafanyakaz wengi sector binafsi tumepunguzwa natunasubil taharifa yakuchukuw pesa zetu ppf
 
Ki ukweli bunge la awamu hii limepoteza mvuto ukisikia jambo limeletwa kutoka serikali kuu basi lazima litapita na wabunge wala hawahangaiki na masuala yanayowaumiza wananchi moja kwa moja. Hebu tuone bunge linaloanza leo huenda kukawa na kitu cha maana
 
Back
Top Bottom