Kesho vikao vya bunge vitaanza Dodoma. Wabunge wazalendo ulizeni maswali haya kwa mawaziri... | Page 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho vikao vya bunge vitaanza Dodoma. Wabunge wazalendo ulizeni maswali haya kwa mawaziri...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MP CHACHANDU, Jan 30, 2017.

 1. MP CHACHANDU

  MP CHACHANDU JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2017
  Joined: Dec 4, 2016
  Messages: 879
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 180
  Wabunge wazalendo wanaotetea maslahi ya wananchi na watumishi wa umma muulizeni waziri wa utumishi wa umma na utawala bora angellah kairuki maswali haya bungeni.

  01: lini serikali itawarudisha kazini watumishi 3000 walioajiriwa mwezi June 2016 wakiwemo watumishi wa mahakama 348 walioajiriwa mwezi June 2016 walipewa mikataba ya kazi na walianza kufanya kazi kwenye mahakama zetu baada walipewa barua za kusitishiwa ajira kwa mda usiojulikana hao watumishi walipewa pesa za kujikimu waliporiti kazini mpaka sana imepita miezi nane toka wasimamishwa kazi na serikali ipo kimya

  je Lini watarudishwa kazini na kulipwa stahiki zao ? Lini serikali itaheshimu mikataba ya kazi kwa watumishi wa umma ? Itaacha lini kusimamisha watu kazi bila makosa ?


  02: lini serikali itaruhusu uhamisho wa watumishi wa umma ? Ili waruhusiwa kuhama maana kuhama ni haki yao ya kisheria mpaka sasa uhamisho wa kuhama kituo umesimamishwa.

  03: lini serikali itaanza kupandisha watu madaraja na kuwalipa madeni yao ? Maana mpaka sasa jambo hili limesimama

  04: lini serikali itaanza kutoa ajira mpya maana mpaka sasa zimesimamishwa

  05: lini zoezi la uhakiki wa watumishi hewa litaisha ? Maana limekuwa kero kwa watumishi wa umma.

  Nawaomba wabunge wote wazalendo na watetezi wa wanyonge kuuliza maswali Haya ili kuweza kuokoa taifa na kutoa utata kwa wananchi
   
 2. Gangongine

  Gangongine JF-Expert Member

  #101
  Feb 1, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 3,866
  Likes Received: 1,756
  Trophy Points: 280
  Wewe itakuwa ni muhanga wa Ajira! Nenda kalime Rufiji maeneo yako mengi
   
 3. mzee wa giningi

  mzee wa giningi JF-Expert Member

  #102
  Feb 1, 2017
  Joined: Nov 1, 2016
  Messages: 520
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 80
  Acha akili za kwenye makalio huko rufiji baba yako ndoo ananipa shamba
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #103
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,395
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  bashe anaenda Mara mbili mbili
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #104
  Mar 21, 2017
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,395
  Likes Received: 3,655
  Trophy Points: 280
  Bashite mshkaji wa clouds yeye haendi
   
 6. M

  Mama Obama JF-Expert Member

  #105
  Mar 21, 2017
  Joined: Mar 5, 2016
  Messages: 1,550
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280
  JE vyeti vya Mkuu wa mkowa JE?
   
Loading...