MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Wabunge wazalendo wanaotetea maslahi ya wananchi na watumishi wa umma muulizeni waziri wa utumishi wa umma na utawala bora angellah kairuki maswali haya bungeni.
01: lini serikali itawarudisha kazini watumishi 3000 walioajiriwa mwezi June 2016 wakiwemo watumishi wa mahakama 348 walioajiriwa mwezi June 2016 walipewa mikataba ya kazi na walianza kufanya kazi kwenye mahakama zetu baada walipewa barua za kusitishiwa ajira kwa mda usiojulikana hao watumishi walipewa pesa za kujikimu waliporiti kazini mpaka sana imepita miezi nane toka wasimamishwa kazi na serikali ipo kimya
je Lini watarudishwa kazini na kulipwa stahiki zao ? Lini serikali itaheshimu mikataba ya kazi kwa watumishi wa umma ? Itaacha lini kusimamisha watu kazi bila makosa ?
02: lini serikali itaruhusu uhamisho wa watumishi wa umma ? Ili waruhusiwa kuhama maana kuhama ni haki yao ya kisheria mpaka sasa uhamisho wa kuhama kituo umesimamishwa.
03: lini serikali itaanza kupandisha watu madaraja na kuwalipa madeni yao ? Maana mpaka sasa jambo hili limesimama
04: lini serikali itaanza kutoa ajira mpya maana mpaka sasa zimesimamishwa
05: lini zoezi la uhakiki wa watumishi hewa litaisha ? Maana limekuwa kero kwa watumishi wa umma.
Nawaomba wabunge wote wazalendo na watetezi wa wanyonge kuuliza maswali Haya ili kuweza kuokoa taifa na kutoa utata kwa wananchi