Kesho vikao vya bunge vitaanza Dodoma. Wabunge wazalendo ulizeni maswali haya kwa mawaziri...

Je ? Ni haki serikali kuwasimamisha watu kazi bila kuwaambia makosa yao ? Hili linatokana na kusimamishwa kazi vijana 348 walioajiriwa na tume ya utumishi wa mahakama Tanzania mwezi June 2016 walipewa mikataba ya kazi na kupangiwa vituo vya kazi walianza kufanya kazi kwenye mahakama zote nchini na walipewa pesa za kujikimu kila mtu laki sita (348×600000) ambazo ni pesa za serikali ulipoanza uhakiki wa watumishi hewa hawa watumishi walirudishwa nyumbani bila kuambiwa sababu yeyote ile tangu wasimamishwe kazi Leo huu ni mwezi wa nane wapo nyumbani na hawajapewa taarifa yeyote ya kiofisi mpaka sasa hawajui hatima yao.

Wabunge wazalendo ulizeni swali hili .

Je ? Lini serikali itawarudisha kazini vijana hawa ,pili ,je ? Kwanini serikali iwaajiri vijana hawa kama ilikuwa inajua haina shida nao ? Je ? Serikali itaheshimu lini mikataba yake ? Je ? Kama haitawarudisha kazini hizo pesa nyingi za watanzania walizopewa kama pesa za kujikimu hao watumishi waliporipoti kazini ndoo zimepotea bure ? Je ? Serikali itawalipa sitahiki zao hawa vijana ?

Wabunge kama mnataka uthibitisho wa hili swala ongeeni na maafisa utumishi wa mahakama zote Tanzania wanataarifa juu ya jambo hili.
 
Wabunge wawakilishe wetu tusaidieni jamani kutuulizia swali hili
 
Back
Top Bottom