Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,012
- 6,762
Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana.
Watanzania wanataka amani.
Vijana wanataka kuchoma moto nchi.
Tufanye nini?
Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana.
Acha Serikali useme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema kuni.
Sisi tunawaomba tu vijana wasilete fujo,haya ni mambo yanaweza kujadiliwa,ni matatizo yanazungumzika.
Nani kateswa,nani sijui kalawitiwa. Haya mambo tuyaongee tu. Tutaoata suluhu.
ahaaa!!!Matatizo ya vijana ni illusion,ndoto za Alinacha,kwamba wao watakwenda Ikulu kufanya fujo, halafu Samia atatoroka na helicopter.
Polisi kazi yao ni kuziondoa hizi illusion za wahalifu wa kila aina.
Waliahidi kuandamana tarehe 9 na 25 lakini hawakutoka hata mmoja huko barabarani, wengi ni watoto wasio na majukumu kula kwa Baba kulala kwa Mama.Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana.
Watanzania wanataka amani.
Vijana wanataka kuchoma moto nchi.
Tufanye nini?
Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana.
Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema kuni.
Sisi tunawaomba tu vijana wasilete fujo,haya ni mambo yanaweza kujadiliwa,ni matatizo yanazungumzika.
Nani kateswa,nani sijui kalawitiwa. Haya mambo tuyaongee tu. Tutaoata suluhu.
Halafu hao vijana wakichukuliwa na mapolisi kwa ajili ya mahojiano ya kina wanakuja wanaharakati humu jukwaani wanaanza kudai kwamba jamaa zao wametekwa!!.Ha ha maandamano ya wapi? Watu waendelee na harakati za maisha waachane na harakati zinazozuia wao kupata kipato Cha kila siku.
Hutaki toka ukutane na vijana wenye kofia nyeusi .
Shida mmjiaminisha katika police na wanajeshi, je mwafikili miongoni mwao wote wapo upande wenu? kitakuja kuumana siku moja hata pakukimbilia mpakose.Waliahidi kuandamana tarehe 9 na 25 lakini hawakutoka hata mmoja huko barabarani, wengi ni watoto wasio na majukumu kula kwa Baba kulala kwa Mama.
Kama hawana kazi na wameamua kuchagua hiyo shughuli basi watawakuta JWTZ na mapolisi wanawasubiri, watu ambao kazi yao ni kushughulikia vijana ambao wamechagua kuwa vibaka.
Kaka msiwadanganye hao vijana kwamba kuna siku jeshi au polisi watakuwa upande wao, wapeni elimu waweze kutanua bongo zao.Shida mmjiaminisha katika police na wanajeshi, je mwafikili miongoni mwao wote wapo upande wenu? kitakuja kuumana siku moja hata pakukimbilia mpakose.
Msijiaminishe na hivi vyombo kwa asilimia nyingi, jiaminishieni kwa wananchi ila sio vyombo ,
sawaWEWE UKITAKA KUJUA KAMA KESHO KUNA MAANDAMANO AU HAKUNA NENDA MTAANI UFANYE INTELIJENSIA , NINA KUHAKIKISHIA UTAUPATA UKWELI WOTE
hapa ndo umekuw muongo yan unasemaje anapendwa duniani wakati hata kijiji kimoja hapa bongo wanaompenda wamebakia wa chama chake tu, ebu acha unafki.MAMA WA AFRICA KAMA ANAVYOJULIKANA HUKO DUNIANI AU DR SAMIA SULUHU HASSAN ANAKUBALIKA NA KUPENDWA NA TAIFA ZIMA IKIWEMO , WATOTO , VIJANA NA WAZEE.
Umeelewa nilichoandika? serikali isifikili kila alie kwenye chombo yupo upande wao, kwenye familia hata baba sio kila kitu utasema wanao watakua wanakikubali ,japo hawezi kukwambia.Kaka msiwadanganye hao vijana kwamba kuna siku jeshi au polisi watakuwa upande wao, wapeni elimu waweze kutanua bongo zao.
JWTZ wanalinda katiba ya nchi, Samia angekuwa yupo madarakani tofauti na matakwa ya katiba mpaka muda huu angekuwa ameshatoka ikulu. Lakini yupo kikatiba na jeshi linalinda katiba ya nchi.
Wananchi hao wanaoandamana na kupanga mipango ya usaliti hawazidi milioni mbili nchi nzima, tupo milioni 64 usione watu wapo kimya ukadhani hao wanaoleta vurugu ndio wengi, usidanganyike.
Ilani ya uchaguzi inatimizwa kama kawaida, Rais hahitaji sana kupendwa na kila mtu.Umeelewa nilichoandika? serikali isifikili kila alie kwenye chombo yupo upande wao, kwenye familia hata baba sio kila kitu utasema wanao watakua wanakikubali ,japo hawezi kukwambia.
hawafili milioni mbili ni elfu moja mpaka tatu tuKaka msiwadanganye hao vijana kwamba kuna siku jeshi au polisi watakuwa upande wao, wapeni elimu waweze kutanua bongo zao.
JWTZ wanalinda katiba ya nchi, Samia angekuwa yupo madarakani tofauti na matakwa ya katiba mpaka muda huu angekuwa ameshatoka ikulu. Lakini yupo kikatiba na jeshi linalinda katiba ya nchi.
Wananchi hao wanaoandamana na kupanga mipango ya usaliti hawazidi milioni mbili nchi nzima, tupo milioni 64 usione watu wapo kimya ukadhani hao wanaoleta vurugu ndio wengi, usidanganyike.
Siku hizi mnasema "vijana tunaomba msiandamane" ila hapo awali mlikuwa hamuamini na kujiaminisha kwamba hawawezi na hawana uwezo wa kuandamana!Hahahahaaa!Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana.
Watanzania wanataka amani.
Vijana wanataka kuchoma moto nchi.
Tufanye nini?
Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana.
Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema kuni.
Sisi tunawaomba tu vijana wasilete fujo,haya ni mambo yanaweza kujadiliwa,ni matatizo yanazungumzika.
Nani kateswa,nani sijui kalawitiwa. Haya mambo tuyaongee tu. Tutaoata suluhu.
Mwashambwa KAPATA mpinzani.hongereni.WEWE UKITAKA KUJUA KAMA KESHO KUNA MAANDAMANO AU HAKUNA NENDA MTAANI UFANYE INTELIJENSIA , NINA KUHAKIKISHIA UTAUPATA UKWELI WOTE
MAMA WA AFRICA KAMA ANAVYOJULIKANA HUKO DUNIANI AU DR SAMIA SULUHU HASSAN ANAKUBALIKA NA KUPENDWA NA TAIFA ZIMA IKIWEMO , WATOTO , VIJANA NA WAZEE.
Wanaishi na sinema vichwani mwao. Hao polisi hawaishi tu kuziondoa vichwani mwao hizo ndoto, kesi ya uhaini lazima ifuatie.Matatizo ya vijana ni illusion,ndoto za Alinacha,kwamba wao watakwenda Ikulu kufanya fujo, halafu Samia atatoroka na helicopter.
Polisi kazi yao ni kuziondoa hizi illusion za wahalifu wa kila aina.