Nyie mnaenda Un HQ,M/city au mnazi 1 sehemu ya makutano???Nipo na Wanangu 17 na tunatoka wote, wewe je?
Naomba kesho tutoke kwa wingi sana, tutokeni kwa wingi sana ndugu zangu
Maandamano ni haki yetu kikatiba
Kama nilivyotoka tarehe 29 kesho nitatoka!!
Acha ujinga mnadanganyika kijinga sanaKaeni majumbani ndugu zangu, serikali inawapigania sana ... leo tu mama ameonesha nia ya kusaini mikataba ya matrilioni ya uwekezaji na Marekani. Mnataka ni nini zaidi? Tuwe na subra --- mtaka yote kwa pupa hukosa yote ..
MauajiIli kuepusha mauaji ya wasio na hatia uelekeo wenu uwe pasipo na makazi ya watu hata vita hupiganwa katika uwanja maalum kuepusha kudhulika kwa wasio na hatia
KabisaHatupoi, hatuboi, mpaka kieleweke..
Na huyo rais ajae nae akituletea usenge tunamuwashia moto, sisi sio kwamba tumeichoka sisiem, hapana tumechoka wanayotufanyia, yeyote atakae kaa pale juu lazima awe na tija kwa tanzania nzima
Mnalipwa buku 5 kuja kutuletea mkwara mbuzi shenz kbsWewe ukitaka kutoka, toka ila usiwadanganye wenzako waje kushika simba kwa mikono....
Lakini pia, Mmesha waaga wazazi wenu hasa MAMA ZENU kwa ajili ya taratibu za kuwatibu au kuwazika?
Hatutaki kusikia kesho kutwa mama zenu wanakuja kulia huku mitandaoni wakikutafuteni na sisi hatutakuwa na msaada.....
Mda unawadia sasa dk 25 mtoke mitaani, tujue,zipi mbivu zipi mbichi.Kesho utajua hujui
Hapana mimi nitasheherekea siku ya Uhuru nikiwa nyumbani ila tumechoka kuwaonea huruma wasio na hatiaMauaji
We ndo utaua watz?
Jizimeni DATAStupid kweli wewe
Hivi mtu anadogosha Ikulu yetu, kweli tumvumilie??Bila matusi utaeleweka pia. UNAJIDHALILISHA..!!
Ndugu zetu wengi waliuwawa wakiwa majumbaniHapana mimi nitasheherekea siku ya Uhuru nikiwa nyumbani ila tumechoka kuwaonea huruma wasio na hatia