Kesho tutoke kwa wingi sana!!

Kesho tutoke kwa wingi sana!!

Kama wewe Mwanaume,PICHA YAKO TU INATOSHA,nataka nikufunze kitu ambacho hutokaa usahau mpaka unaingia kaburini!!

Watu wengine mnapost utadhani siyo Watanganyika!
SITANYAMAZA
Kichwa chako kimejaa mavi
 
Ili kuepusha mauaji ya wasio na hatia uelekeo wenu uwe pasipo na makazi ya watu hata vita hupiganwa katika uwanja maalum kuepusha kudhulika kwa wasio na hatia
Hatupigani vita, bali tuko kwenye maandamano ya amani. Tumechoka kutawaliwa kwa shuruti na ccm.
 
Kaeni majumbani ndugu zangu, serikali inawapigania sana ... leo tu mama ameonesha nia ya kusaini mikataba ya matrilioni ya uwekezaji na Marekani. Mnataka ni nini zaidi? Tuwe na subra --- mtaka yote kwa pupa hukosa yote ..
 
Hatupigani vita, bali tuko kwenye maandamano ya amani. Tumechoka kutawaliwa kwa shuruti na ccm.
Serikali imeyakataa waokoeni wasio na hatia walioko majumbani kwa kupita mbali na makazi ya watu in case ikitokea kama ya October 29 vifo vipungue pungue safari hii

Ni maoni tu
 
Serikali imeyakataa waokoeni wasio na hatia walioko majumbani kwa kupita mbali na makazi ya watu in case ikitokea kama ya October 29 vifo vipungue pungue safari hii

Ni maoni tu
Serekali ipi, hii iliyopora uchaguzi?
 
Hatupoi, hatuboi, mpaka kieleweke..
Na huyo rais ajae nae akituletea usenge tunamuwashia moto, sisi sio kwamba tumeichoka sisiem, hapana tumechoka wanayotufanyia, yeyote atakae kaa pale juu lazima awe na tija kwa tanzania nzima
 
Nipo na Wanangu 17 na tunatoka wote, wewe je?

Naomba kesho tutoke kwa wingi sana, tutokeni kwa wingi sana ndugu zangu

Maandamano ni haki yetu kikatiba

Kama nilivyotoka tarehe 29 kesho nitatoka!!
If we must die, let it not be like hogs
Hunted and penned in an inglorious spot,
While round us bark the mad and hungry dogs,
Making their mock at our accursèd lot.
If we must die, O let us nobly die,
So that our precious blood may not be shed
In vain; then even the monsters we defy
Shall be constrained to honor us though dead!
O kinsmen! we must meet the common foe!
Though far outnumbered let us show us brave,
And for their thousand blows deal one death-blow!
What though before us lies the open grave?
Like men we’ll face the murderous, cowardly pack,
Pressed to the wall, dying, but fighting back!
 
Back
Top Bottom