Njoo Kimara karibu na kanisa la Askofu wenu GwajimaNyie watekaji mko wapi nipite eneo hilo.
Nipo kurasini muda huu uhamiaji, njoo maana nyie mna silaha. Mimi subirini nipate silaha tuongee lugha moja.Njoo Kimara karibu na kanisa la Askofu wenu Gwajima
Kurasini?? Aaah watu wa kazi wanaishi Kimara. Wewe unabakia ni ndugu mtazamaji tuNipo kurasini muda huu uhamiaji, njoo maana nyie mna silaha. Mimi subirini nipate silaha tuongee lugha moja.
wewe na silaha wap wapNipo kurasini muda huu uhamiaji, njoo maana nyie mna silaha. Mimi subirini nipate silaha tuongee lugha moja.
Vipi mbona hujatoka? Au uliogopa kupigwa ya kichwa?Nipo na Wanangu 17 na tunatoka wote, wewe je?
Naomba kesho tutoke kwa wingi sana, tutokeni kwa wingi sana ndugu zangu
Maandamano ni haki yetu kikatiba
Kama nilivyotoka tarehe 29 kesho nitatoka!!
Unauliza au unapigia jibu mstari?wewe na silaha wap wap
labda silaha za mitandaoniUnauliza au unapigia jibu mstari?
Leo nimetembea mitaa mingi aisee, kila kona naona police na wanajeshi , moyoni nikasema ama kweli siku za kuheshimiwa mwananchi zimekaribia, leo vijana wa jwtz na police wamenilinda haswa ilikua mwendo wa kula bata, sasa nimeamua anzia kesho na kuendelea popote wapitapo watupie maji ,juice , biscuit n.k .Nipo na Wanangu 17 na tunatoka wote, wewe je?
Naomba kesho tutoke kwa wingi sana, tutokeni kwa wingi sana ndugu zangu
Maandamano ni haki yetu kikatiba
Kama nilivyotoka tarehe 29 kesho nitatoka!!
Umeeenda kumpindua Samia ikulu,au uko shimoni kama panya? HahahaKesho utajua hujui