Alisema wapi au ulikuwa naye kwako wakati anasema?Kiongozi mwenye zaidi ya kura laki 8 nasikia aliwaruhusu na kisema wasisumbuliwe.
Sasa hapo itakuwaje au Mkuu wa wilaya anamtii Mkuu wa Mkoa na kum... Mkuu wa Nchi?
Kwa kawaida utumbo huwa sijibu na mimi sipendagi watu wenye maswali ya kijinga!Alisema wapi au ulikuwa naye kwako wakati anasema?
Asante unatumia vizuri akili yakoWanaweza kuondolewa leo kesho wakarudishwa kisiasa zaidi
Si UKUTA hamna tena,waondoke tu ....Kiongozi mwenye zaidi ya kura laki 8 nasikia aliwaruhusu na kisema wasisumbuliwe.
Sasa hapo itakuwaje au Mkuu wa wilaya anamtii Mkuu wa Mkoa na kum... Mkuu wa Nchi?
Watu utatuvunja mbavu huku, unamaanisha kuwa upande wa pili utategemea au unasikilizia upande wa ...?Si UKUTA hamna tena,waondoke tu ....
...we jamaa bhana!..unakuwaga na haraka ya nini,kwanini usitulie ukawa unaandika hoja kwenye post moja?Wanaweza kuondolewa leo kesho wakarudishwa kisiasa zaidi
Source kaka
Ng'ang'aniaKapange sehemu inayostahili kisheria ambayo haileti bugudha kwa watu wengine, hizo sehemu mnazo nga' nga' nia in hatarishi kwenu na sisi wengine
Uhatarishi wa hizo sehemu mbona unakuwa wa misimu,ina maana kipindi kingine hakuna hatari ........??Kapange sehemu inayostahili kisheria ambayo haileti bugudha kwa watu wengine, hizo sehemu mnazo nga' nga' nia in hatarishi kwenu na sisi wengine
Tunashindwa kupitisha magari bora waondokeUhatarishi wa hizo sehemu mbona unakuwa wa misimu,ina maana kipindi kingine hakuna hatari ........??
Mnashindwa kupitisha magari leo .....??Tunashindwa kupitisha magari bora waondoke