Tetesi: Kesho Nov.1, 2016 Kariakoo safiiiiiii

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
2,105
1,795
Mkuu wa Wilaya ya Ilala dada Mjema kasema kesho mwisho kupanga bidhaa za machinga mitaa ya Kariakoo.

Kiukweli ilikuwa ni shida hata kupita kwa watembea kwa miguu.
 
Kiongozi mwenye zaidi ya kura laki 8 nasikia aliwaruhusu na kisema wasisumbuliwe.

Sasa hapo itakuwaje au Mkuu wa wilaya anamtii Mkuu wa Mkoa na kum... Mkuu wa Nchi?
 
Kiongozi mwenye zaidi ya kura laki 8 nasikia aliwaruhusu na kisema wasisumbuliwe.

Sasa hapo itakuwaje au Mkuu wa wilaya anamtii Mkuu wa Mkoa na kum... Mkuu wa Nchi?
Alisema wapi au ulikuwa naye kwako wakati anasema?
 
Dada mjema naomba baada ya kuwaondoa hao wamachinga tuondolee pia magari yanayopaki kwenye njia za waenda kwa miguu maanahakuna mantiki kuwaondoa wa machinga na kuacha magari yanapaki sehemu za waenda kwa miguu hivyo kusababisha kutembea kwenye barabara za magari.hii hali ni karibia mitaa yote ya jiji hili, hebu tokeni maofisini mtembee muone. Au mpaka makonda aanze kila kitu.
 
Kapange sehemu inayostahili kisheria ambayo haileti bugudha kwa watu wengine, hizo sehemu mnazo nga' nga' nia in hatarishi kwenu na sisi wengine
 
Kapange sehemu inayostahili kisheria ambayo haileti bugudha kwa watu wengine, hizo sehemu mnazo nga' nga' nia in hatarishi kwenu na sisi wengine
Uhatarishi wa hizo sehemu mbona unakuwa wa misimu,ina maana kipindi kingine hakuna hatari ........??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom