Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Nyie ndio mlisababisha Bashite apate ziro...waalimu wa aina yko
 
Kila jambo lina mwisho wake, kesho ni harusi yangu, kabla ya kwenda madhabahuni kuna jambo napenda kuungama maana linanitesa, naomba msamaha kama mwalimu niliwai kutembea na kijana mmoja aliekuwa kidato cha nne nashindwa kabisa kumtoa moyoni mwangu maana sijawai kuridhishwa kimwili kama ilivokuwa kwa yule kijana.

Nimeshawai kutembea na wanaume wengi tu hata baba yake huyo mtoto nilitembea nae nikidhani amejaliwa kama mwanae kumbe hakuna kitu ila hakuna hata mmoja aliemfikia yule kijana.

Huyu mume naefunga nae ndoa ni vile tu maishani inabidi uolewe kwa ajili ya heshima mtaani nieleweke tu mimi sio muhuni nipo tayari kabisa kuwa mke mwema, nitamtunza mume wangu wala sitomsaliti ila ijulikane kuna jambo litamiss katika maisha yangu.

Dah kweli wanawake wengine mhhh !! mtoto, then ukijua ukapeleka nyuchi kwa baba, na unakiri hapa kuwa unaolewa sababu ya nn ?

Yaani ni typical hoo...!!
 
Hii ni hatri Sana'a...Kama ndoa ni fashion bora ukaendelezeeee mbeeeleee. ......,........**k**z
 
Naona huyo Kijana anatoka kijiji cha katerero chenye mto ngono


Mkuu,hvi hyo katerero ikoje,maana mpaka nimegoogle ila cjaipata,29yrs siijui katerero,nijuze namm nimpge mama watoto wangu
 
Bado najiuliza kwanini unaolewa sijapata majibu. Mie niliapa kuwa kama sitopata mwanaume tunaependana basi ni bora nisiolewe, i thank God.
 
Hujatubu!! Umetoa tu story. Unatubu kwa uliemkosea +Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom