Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Kweli ukioa demu ambaye BK hamna unakua umemuoa mke wa mtu
 
Kila jambo lina mwisho wake, kesho ni harusi yangu, kabla ya kwenda madhabahuni kuna jambo napenda kuungama maana linanitesa, naomba msamaha kama mwalimu niliwai kutembea na kijana mmoja aliekuwa kidato cha nne nashindwa kabisa kumtoa moyoni mwangu maana sijawai kuridhishwa kimwili kama ilivokuwa kwa yule kijana.

Nimeshawai kutembea na wanaume wengi tu hata baba yake huyo mtoto nilitembea nae nikidhani amejaliwa kama mwanae kumbe hakuna kitu ila hakuna hata mmoja aliemfikia yule kijana.

Huyu mume naefunga nae ndoa ni vile tu maishani inabidi uolewe kwa ajili ya heshima mtaani nieleweke tu mimi sio muhuni nipo tayari kabisa kuwa mke mwema, nitamtunza mume wangu wala sitomsaliti ila ijulikane kuna jambo litamiss katika maisha yangu.
Hizi dhambi hizi ndio inafanya waalimu kucheleweshewa mishahara...kwa hiyo dhambi yako....waombe walimu wenzio msamaha
 
Story yako imenifanya nisitamani kuoa kabisa,jamani wanaume mpoo?
unachukua mtu ameshachakazwa sanaaa na bado anawakumbuka waliokua wanamchakaza,siku ukifanya nae tendo la ndoa anakusanifu tu,jamani wanaume kazi tunayo
By the way hongera kwa kufikia hiyo hatua ila usije ukamsaliti huyo jamaa kwa kukumbuka wale wa misri
ndio maisha sasa utafanyaje, hata wanaume nao wana past zao pind waingiapo ktk ndoa...hamna msafi...Ila kuna mchafu na mchafu zaidi
 
Story yako imenifanya nisitamani kuoa kabisa,jamani wanaume mpoo?
unachukua mtu ameshachakazwa sanaaa na bado anawakumbuka waliokua wanamchakaza,siku ukifanya nae tendo la ndoa anakusanifu tu,jamani wanaume kazi tunayo
By the way hongera kwa kufikia hiyo hatua ila usije ukamsaliti huyo jamaa kwa kukumbuka wale wa misri
Waowaji mnaambiwa mimi bikra; mapenzi mpaka tufunge ndoa. Ngoja uweke ndani, utajuta wala sio saizi yako yaani 1/4 wala ndoa haidumu hapo
 
mwalimu wa mwendokasi dah mpaka mwanafunzi anagegeda sipati picha akikuchora mbele ya wanafunzi wenzake
 
Mmmh!..ni balaa hili.wanafunzi ndio maana ni mabashite!..vijana acheni kuoa cku hiz ni ujinga tu
 
Story yako imenifanya nisitamani kuoa kabisa,jamani wanaume mpoo?
unachukua mtu ameshachakazwa sanaaa na bado anawakumbuka waliokua wanamchakaza,siku ukifanya nae tendo la ndoa anakusanifu tu,jamani wanaume kazi tunayo
By the way hongera kwa kufikia hiyo hatua ila usije ukamsaliti huyo jamaa kwa kukumbuka wale wa misri
Kuoa cku hiz hakuna maana
 
Sister bora uli retire make una hekaheka mapadri wetu si umewachezea sana jamani
 
Icje ikawa ndo unaolewa na jamaa angu maana nae harusi Leo. Kama ni yeye utakoma. Jamaa ana miaka 35 hajawahi kupata demu wala kutafuta wa kuzushiwa, watu wengi wanadhani mbovu. Aliwahi kumchumbia demu, akalipa na mahari ila demu akamtosa baada ya kujua ni mbovu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom