Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Kila jambo lina mwisho wake, kesho ni harusi yangu, kabla ya kwenda madhabahuni kuna jambo napenda kuungama maana linanitesa, naomba msamaha kama mwalimu niliwai kutembea na kijana mmoja aliekuwa kidato cha nne nashindwa kabisa kumtoa moyoni mwangu maana sijawai kuridhishwa kimwili kama ilivokuwa kwa yule kijana.

Nimeshawai kutembea na wanaume wengi tu hata baba yake huyo mtoto nilitembea nae nikidhani amejaliwa kama mwanae kumbe hakuna kitu ila hakuna hata mmoja aliemfikia yule kijana.

Huyu mume naefunga nae ndoa ni vile tu maishani inabidi uolewe kwa ajili ya heshima mtaani nieleweke tu mimi sio muhuni nipo tayari kabisa kuwa mke mwema, nitamtunza mume wangu wala sitomsaliti ila ijulikane kuna jambo litamiss katika maisha yangu.
Nitaoa sema nitachelewa sana kama mambo yenyewe ndiyo haya
 
Story yako imenifanya nisitamani kuoa kabisa,jamani wanaume mpoo?
unachukua mtu ameshachakazwa sanaaa na bado anawakumbuka waliokua wanamchakaza,siku ukifanya nae tendo la ndoa anakusanifu tu,jamani wanaume kazi tunayo
By the way hongera kwa kufikia hiyo hatua ila usije ukamsaliti huyo jamaa kwa kukumbuka wale wa misri
Kwa wanawake hiyo hutokea sana.
 
Eliza umejiharibia ndoa bure, James yupo humu. Ungeniuliza ningekwambia
 
Ulikosea sana kwani ulishindwa kabisa kumshawishi huyo kijana ili yeye awe mwandani wako wa ndoa, Pole sana kwa hilo na hata hiyo ndoa unayofunga bado ina mashaka maana ikitokea yule kijana akatize tu mbele yako utashindwa uvumilivu.
 
Ni bora ungefunga ndoa na huyo mwanafunzi wako, kwa mujubu wa maelezo yako utachepuka tuuu.
 
Story yako imenifanya nisitamani kuoa kabisa,jamani wanaume mpoo?
unachukua mtu ameshachakazwa sanaaa na bado anawakumbuka waliokua wanamchakaza,siku ukifanya nae tendo la ndoa anakusanifu tu,jamani wanaume kazi tunayo
By the way hongera kwa kufikia hiyo hatua ila usije ukamsaliti huyo jamaa kwa kukumbuka wale wa misri
Tupoooo
 
"Huyu mume naefunga nae ndoa ni vile tu maishani inabidi uolewe kwajili ya heshima mtaani"

Kwa sentence hiyo mumeo ajiandae kazi anayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom