Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Kila jambo lina mwisho wake, kesho ni harusi yangu, kabla ya kwenda madhabahuni kuna jambo napenda kuungama maana linanitesa, naomba msamaha kama mwalimu niliwai kutembea na kijana mmoja aliekuwa kidato cha nne nashindwa kabisa kumtoa moyoni mwangu maana sijawai kuridhishwa kimwili kama ilivokuwa kwa yule kijana.

Nimeshawai kutembea na wanaume wengi tu hata baba yake huyo mtoto nilitembea nae nikidhani amejaliwa kama mwanae kumbe hakuna kitu ila hakuna hata mmoja aliemfikia yule kijana.

Huyu mume naefunga nae ndoa ni vile tu maishani inabidi uolewe kwa ajili ya heshima mtaani nieleweke tu mimi sio muhuni nipo tayari kabisa kuwa mke mwema, nitamtunza mume wangu wala sitomsaliti ila ijulikane kuna jambo litamiss katika maisha yangu.
Umemualika huyo dogo kwenye harusi yako?
 
Dah my dear ticha nilikumiss pia ebu njoo dm tukumbushiane enzi
Dah sema noma kumbe hata mzee nae alichovya aisee
 
We hatari sn umekula kuku na mayai yke!
 
Shetani ameweka mawakale wake kwenye mitandao ili kuwarubuni vijana wasioe ili wafanye uzinzi na kuendelea kumkosea Mungu
 
Kwa huyo umegongwa na mwanafunzi wako..na baba yake pia kakugonga?
 
Hakuna mke hapo we nenda kajaze vyeti huko utarudi baada ya miezi kadhaa
 
Huwezi kuacha huo usaliti kwa kuwa ulifanya bila aibu na bado hazijakutoka. Yaani nyie viumbe sijui Mungu aliposema tuishi na nyie kwa akili nahisi alijua kuwa hamna akili.
 
Ndo mana ndoan wachepukaji wamezidi..uonaolewa sabbu yaa heshima tu
Hatarious
Ni ajabu na kweli.
kama kweli umedhamiria nenda katubu kanisan madhabahun mbele ya Mungu na sio huku jamii forum.
 
Kila jambo lina mwisho wake, kesho ni harusi yangu, kabla ya kwenda madhabahuni kuna jambo napenda kuungama maana linanitesa, naomba msamaha kama mwalimu niliwai kutembea na kijana mmoja aliekuwa kidato cha nne nashindwa kabisa kumtoa moyoni mwangu maana sijawai kuridhishwa kimwili kama ilivokuwa kwa yule kijana.

Nimeshawai kutembea na wanaume wengi tu hata baba yake huyo mtoto nilitembea nae nikidhani amejaliwa kama mwanae kumbe hakuna kitu ila hakuna hata mmoja aliemfikia yule kijana.

Huyu mume naefunga nae ndoa ni vile tu maishani inabidi uolewe kwa ajili ya heshima mtaani nieleweke tu mimi sio muhuni nipo tayari kabisa kuwa mke mwema, nitamtunza mume wangu wala sitomsaliti ila ijulikane kuna jambo litamiss katika maisha yangu.
Kwa hiyo ulikuwa bundle la shule?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom