Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Kila jambo lina mwisho wake, kesho ni harusi yangu, kabla ya kwenda madhabahuni kuna jambo napenda kuungama maana linanitesa, naomba msamaha kama mwalimu niliwai kutembea na kijana mmoja aliekuwa kidato cha nne nashindwa kabisa kumtoa moyoni mwangu maana sijawai kuridhishwa kimwili kama ilivokuwa kwa yule kijana.

Nimeshawai kutembea na wanaume wengi tu hata baba yake huyo mtoto nilitembea nae nikidhani amejaliwa kama mwanae kumbe hakuna kitu ila hakuna hata mmoja aliemfikia yule kijana.

Huyu mume naefunga nae ndoa ni vile tu maishani inabidi uolewe kwa ajili ya heshima mtaani nieleweke tu mimi sio muhuni nipo tayari kabisa kuwa mke mwema, nitamtunza mume wangu wala sitomsaliti ila ijulikane kuna jambo litamiss katika maisha yangu.

HAKUNA KUFUNGISHA TENA NDOA KWA WAKIRISTO SO SIJUI UNAENDA MADHABAHU GANI? TUKO KWENYE KWARESMA
 
mleta uzi mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kwa ajili ya ID yako na avatar yako, acha dharau na dhihaka kwa kanisa kongwe duniani, mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuu tena
 
Kila jambo lina mwisho wake, kesho ni harusi yangu, kabla ya kwenda madhabahuni kuna jambo napenda kuungama maana linanitesa, naomba msamaha kama mwalimu niliwai kutembea na kijana mmoja aliekuwa kidato cha nne nashindwa kabisa kumtoa moyoni mwangu maana sijawai kuridhishwa kimwili kama ilivokuwa kwa yule kijana.

Nimeshawai kutembea na wanaume wengi tu hata baba yake huyo mtoto nilitembea nae nikidhani amejaliwa kama mwanae kumbe hakuna kitu ila hakuna hata mmoja aliemfikia yule kijana.

Huyu mume naefunga nae ndoa ni vile tu maishani inabidi uolewe kwa ajili ya heshima mtaani nieleweke tu mimi sio muhuni nipo tayari kabisa kuwa mke mwema, nitamtunza mume wangu wala sitomsaliti ila ijulikane kuna jambo litamiss katika maisha yangu.
Ya kweli hayo!
 
Kuna wanawake hawastahili kuolewa kabisa! Kwanini uji commit kwa mwanaume ambae hakufikishi hakuridhishi,alafu hizi mambo za kutembea na vijana wadogo ni ubakaji (kwa maana ulitumia nafasi yako ya ualimu kumrubuni kijana) , ni ukosefu wa maadili na mke asiye na maadili ni Bomu kwa mumewe
Jirekebishe,jua na wewe utazaa na wenzio watakufanyia ushenzi huo huo wa wenzio kutembea na kijana wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom