Anafikiri wote watoto hatukumbuki alivyovipost kipindi cha nyumaTangu 2013 unasema unaolewa.... Imekuaje tena?
Rejea uzi wako huu.... Na huyo atakayekuoa, Mungu na amsaidie
The Power of One night stand! I like it!
Je, ule ujauzito ulishajifungua?
Nina mimba lakini sijui ni ya nani
Je, hiyo mimba, mzigo ulimbebesha nani baada ya kupata uwalakini?
Nimepata ujauzito sijui ni wa nani
mimi naiweza.inabidi nionje katerero aisee inaelekea nakosa mengi
Ha haaaa haaaa inaonekana itakuwa tamu hii mpaka mwalimu hamsahau mwanafunzi!hapana mkuu sitaki
ndiyo uwanaume huoHa haaaa haaaa inaonekana itakuwa tamu hii mpaka mwalimu hamsahau mwanafunzi!
Wanaume tuna shida sana
ukiipata hiyo kitu utakhapana kwa kweli
hapo sasaSasa we mdada kutubu unatubu kwa wana jf au kwa mungu?
Unaona eeh! Yaani huyu akikutana na huyo makaka lazima wakumbushie.Ndo mana ndoan wachepukaji wamezidi..uonaolewa sabbu yaa heshima tu
Hatarious
Wewe muhaya wa wapi? Kuna mtaa, shule, kata mpaka tarafa kwa jina la Katerero. Radio Bukoba iko katika viunga vya KatereroMimi ni muhaya ila hiyo katerero siijui nimekutana mayo jamii forum