Mkuu Yeriko, kwanza asante kwa taarifa hii, hivyo na sisi kesho tukae mkao wa kula, pili hakuna ubaya wowote kwa my kuwa na great expectations, kuwa kesho nchi nchi itasimama, kwa Chadema ipi?, kama ndio kwa Chadema hii hii ninayoifahamu mimi, then take it from me, there will be nothing new kwa sababu kwa sasa Top Brass ya Uongozi wa juu wa Chadema, is a saturated solution, it can take no more than what it can, hivyo haina watu wenye that capacity kuisimamisha nchi.
Kama 2015 mlishindwa, there is nothing big you can do now simply kwa sababu ....
https://www.jamiiforums.com/threads...angi-na-hamtajipanga-2015-ni-ccm-tena.624364/
Japo mimi sina chama kabisa lakini kuna vitu huwa nawaambia humu na nikikutana nao nawaambia face to face.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/87532-ccm-imechokwa;-chadema-haijajipanga.html
https://www.jamiiforums.com/threads...i-zisikilizwe-zizingatiwe-zisipuuzwe.1352784/
https://www.jamiiforums.com/threads...us-credible-mature-enough-opposition.1249668/
Hivyo there will be nothing more zaidi ya kutangaziwa ushirikiano wa Chadema na ACT.
Na kumfukuza Nassari
P
unakuwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani .unafungwa jela ukitoka unaishia kuandika makala? dunia itajuaje kwamba tanzania kua dictator uchwaraa?Logic i support this
Genge la wahuni hilo,linajifia polepoleTarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.
Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,
Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.
Na Yericko NyerereView attachment 1057350
...Heche,Lema,Msigwa,Sugu...wanafaa ukatibu ila huyo Mashinji ni kama kondooHamna jipya zaidi ya matamko yasiyo tekelezeka Mtaishia tu kulaani halafu Mashinji mtoeni kwenye hiyo nafasi mumpe hata Heche
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa us*nge wako hapa..nchi itasimama? kwani sasa hivi imekaa? CHADEMA ndio waisimamishe nchi? tukiwaambia CHADEMA ni SACCOS mnapinga, angalieni sasa mnaenda kufanya kikao mwishoni mwa mwezi wa tatu .unajua hiyo inamaanisha nini kihasibu? mnaenda kufunga mahesabu ya robo ya kwanza mwaka wa SACCOS yenu
Mkuu Dkt Marcus Albane anafaa zaidiHamna jipya zaidi ya matamko yasiyo tekelezeka Mtaishia tu kulaani halafu Mashinji mtoeni kwenye hiyo nafasi mumpe hata Heche
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema hii sio ile ya kusimamisha nchi.
Gia ya angani ilishaharibu kila kitu.
Upumbavu kabisa huu. Ni cc ngapi za chadema zimekaa hatujayaona hayo unayoyasema??Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.
Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,
Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.
Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Hamna jipya zaidi ya matamko yasiyo tekelezeka Mtaishia tu kulaani halafu Mashinji mtoeni kwenye hiyo nafasi mumpe hata Heche
Sent using Jamii Forums mobile app