Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

aisee mjane ukimaliza eda tutaendelea na huu mjadala.
 
Cha kujiuliza ni kwanini!? Wamsindikize mabalozi!?

Kafanya nini mpaka yeye pekee kati ya watu milioni sitini aondoke kwa kusindikizwa!?

Je hao Wazungu wanampenda Lisu au wanaipenda Tanzania!? Kama wanaipenda Tanzania kwanini waruhusu makampuni yao yandeshwe kinyonyaji against Tanzania kwa mikataba ya hovyo!?

Na kama haipendwi Tanzania kwanini wanampenda Lissu!? Ana nini anachowapa mpaka wampende!?

American as a nation is killing people left right and center for name of state interests.. wako watu wamekimbia taifa lao kutafuta asylum nje ya Marekani kukimbia uovu wa kila namna...



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Hukusema chochote kuhusiana na kina Azory, Ben wala mawazo - watanzania hao.

Lissu kasindikizwa kwa usalama wake dhidi ya watoa roho mithili ya mamba.

Huna lolote la kusema kuwahusu mamba hao? Au wewe ndiyo mamba wenyewe na kusindikizwa Lissu ulipokonywa nyama mdomoni?
 
Ulivyo mjinga hata hujui kwa nini Masilingi walimtoa kwenye ubalozi.
Ccm bwana,akili mfukoni.
 
Maneno matakatifu yanasema heshimu wenye Mamlaka. Na jifunze namna ya kuongea nao.

Mtu mwenye nguvu ni "MTU" ana hasira au hisia na anafanya maamuzi au wakati mwingine makosa kama kawaida.

Kujibu swali lako, Ukiona Kiongozi Amefanya kitu lazima ujenge nature ya kuamini its for Greater good. Na wakati mwingine hugeuka kuwa makosa... Lakini ndivyo ilivyo.. in long run tunajifunza na kubadilika.

Haijalishi una point au hoja kiasi gani lazima ujue namna ya kumshauri mtu mwenye mamlaka.. na kamwe usiwe mwenye kiburi na majivuno..

Kipi kiliwakuta hao.. sijui.. lakini kwa jinsi Lissu anavyojiendesha.. ni dhahiri Sehemu kubwa anajiendesha kama Narcissist. Anachotaka yeye pekee ndicho sahihi na bora.. huwezi kuwa na mahusiano na mtu yeyote ukiwa na tabia hiyo.. sio tu hapa duniani hata ahera. Maana ni tabia ya kishetani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pumba tupu
hukuwa umezaliwa au hukuwa na smartphone mkuu??

ile siku ndio nilijua wasomi wa CCM wakiweka siasa chini sio watu wa mchezo mchezo.nikagundua kitu pia,kwamba kumbe lissu huwa anatoa povu sio hoja.

sasa kesho ajipange,na sijui kama hataokba udhuru.
 
Toooooo blind ideas.
 
Wazungu wamestaarabika kuliko ngozi nyeusi,kuua watu hovyohovyo hawawezi.
 
We maku kweli, Toka Lini shoga Lissu akawa na uchungu na watanzania?
 
Acha uwongo

Weka hiyo link ya VOA hardtalk na Shaka ssali.

Wilson masillingi alikuwa ana jing'ata ng'ata Tu
Hakuwa na jipya lolote zaidi ya kusifia sifia jiwe lenu
 
Toooooo blind ideas.
Kwa mtu asiyefundwa.
Kusalimia kwa unyenyekevu si ni ushamba pia. Kuongea kwa hoja ya na ustaarabu.. kujifunza kusikiliza ili kuelewa na sio kusikiliza ili kujibu ni maswala ya kizamani mno.

Tangu kuumbwa dunia sijawahi kusikia wenye ngozi nyeusi waliwateka, kuwaua, kuwaibia, kuwabaka na kuwadhalilisha watu wengine.

Hao wabeligiji walikuwa wana zoo ya mwanamke muafrika.. huo ndio ustaarabu unaousema!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
NI WATU WENYE KASI NDOGO YA KUELEWA NDIO WANAMWONA PLO NI WA MAANA!
 

Naamini Lisu ataingia mitini. Hataonekana kwa sababu atajidharaulisha kupita kipimo na ataendelea kupoteza nyumbu. Ataingia mitini nawaambieni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…