Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

Kesho Lissu yupo Straight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane.

Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima kupakaza matope taifa letu iliisha ile siku aliyokutana na balozi Wilson Masilingi. Lissu alirushwarushwa kwa hoja, akakanyagwa kwa sheria na vifungu vyake kisha akafundishwa uzalendo na balozi msomi Masilingi. Lissu jasho lilimtoka na baada ya hapo alicancel ratiba ya mahojiano na Al Jazeera, NBC na KTN na badala yake alionekana sehemu nyingine.

Baada ya Lissu kushindwa kupambana na Magu akiwa hai,ameamua kumchafua alipofariki, nape alishindwa baada ya mamilioni kuomboleza kifo chake.

Japokuwa kesho sio mdahalo hasa, Lissu inabidi ajitahidi sana kucontrol adabu yake maana sidhani kama Lumumba PLO atakubali kuona shujaa wa Afrika JPM akichafuliwa na hasira za Lissu kupata kura asilimia 9 uchaguzi uliopita.

View attachment 1739062
Huwezi kusaga sumu ukawa na mawazo yenye kujenga.Utabaki kuwa muimba sifa wa marehemu
 
Cha kujiuliza ni kwanini!? Wamsindikize mabalozi!?

Kafanya nini mpaka yeye pekee kati ya watu milioni sitini aondoke kwa kusindikizwa!?

Je hao Wazungu wanampenda Lisu au wanaipenda Tanzania!? Kama wanaipenda Tanzania kwanini waruhusu makampuni yao yandeshwe kinyonyaji against Tanzania kwa mikataba ya hovyo!?

Na kama haipendwi Tanzania kwanini wanampenda Lissu!? Ana nini anachowapa mpaka wampende!?

American as a nation is killing people left right and center for name of state interests.. wako watu wamekimbia taifa lao kutafuta asylum nje ya Marekani kukimbia uovu wa kila namna...

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watu hawaijuwai hii njemba ikifanikiwa kutawala nchi inaweza kutuuza, maana nikibalaka wa wazungu.
 
Kesho Lissu yupo Straight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane.

Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima kupakaza matope taifa letu iliisha ile siku aliyokutana na balozi Wilson Masilingi. Lissu alirushwarushwa kwa hoja, akakanyagwa kwa sheria na vifungu vyake kisha akafundishwa uzalendo na balozi msomi Masilingi. Lissu jasho lilimtoka na baada ya hapo alicancel ratiba ya mahojiano na Al Jazeera, NBC na KTN na badala yake alionekana sehemu nyingine.

Baada ya Lissu kushindwa kupambana na Magu akiwa hai,ameamua kumchafua alipofariki, nape alishindwa baada ya mamilioni kuomboleza kifo chake.

Japokuwa kesho sio mdahalo hasa, Lissu inabidi ajitahidi sana kucontrol adabu yake maana sidhani kama Lumumba PLO atakubali kuona shujaa wa Afrika JPM akichafuliwa na hasira za Lissu kupata kura asilimia 9 uchaguzi uliopita.

View attachment 1739062
Shujaa wa Africa!!! Africa ipi,Misri ,SA,Nigeria.

Tukumbushane huyu shujaa kaifanyia nin Africa hasa sisi watu wa Morocco.
 
Back
Top Bottom