Kesho kuna Maandamano ya Wafanyakazi kudai Sheria ya Mafao Ibatilishwe

SSRA ivunjwe tu. Ndio tatizo la kuweka wakurugenzi wanawake kwenye mashirika makubwa kwani akili zao ni za kushikiwa tu. Yani hawezi toa hoja kwenye huu uonevu wa waziwazi.
 
SSRA ivunjwe tu. Ndio tatizo la kuweka wakurugenzi wanawake kwenye mashirika makubwa kwani akili zao ni za kushikiwa tu. Yani hawezi toa hoja kwenye huu uonevu wa waziwazi.
Najisikia vibaya..kama vile unamwongelea mama yako mzazi!!
 
Watanzania huwa tunaigiza michezo ya kizamani tunachekesha! Yaani unakuta eti taasisi wakitaka kugoma eti uanze kupeleka maombi mahakamani uombe kugoma? hivi ni mahakama gani itakayokuambi sasa anza kugoma kuanzia kesho? au hizo taratibu za kuomba kugoma ni ipi hata moja ilishaaruhusu kuwepo kwa mgomo?? wafanyakazi tukishaamua kuna matatizo na tukakubaliana ni kuanza kugoma moja kwa moja hili la kwenda mahakamani ni kupoteza muda! sawasawa na mandamano, wewe unataka kuandamana kuipinga serikali unaenda kwa serikali hiyohiyo kuiomba kibali? huko ndio kuchekesha,. wewe ukishaona kuna haja ya kuandamana ingia mitaani andamana fikisha ujumbe!! serikali imeushika mhimili mahakama hivo usitegemee hata siku moja mahakama iamue tofauti na serikali!!
 
SSRA ivunjwe tu. Ndio tatizo la kuweka wakurugenzi wanawake kwenye mashirika makubwa kwani akili zao ni za kushikiwa tu. Yani hawezi toa hoja kwenye huu uonevu wa waziwazi.
Dah huu ni mfumo dume! Jinsia si sababu lbd ni kiongozi mbaya tu yeye binafsi, na si kugeneralise wanawake wote, wanaume wangapi tumeona wanaburunda?
 
maandamano haya ni ya wafanyaka wala hayakuhusu wee mkulima wa Tabora, we nenda shamba ukalime matobolwa
Hivi wewe
ni kitu gani unajivunia wakati harakat zenu zote wafanyakaz zina gonga mwamba -migomo na maandamano impact yake nini tz
 
Umejaribu ku google jina langu kidogo; Godfrey Kassanga hebu jaribu uone unavyoaibika...
mkulima mwenzie mkulima bora mkale sifongo zenu huko Tbr. Na kama ni wafanyakazi basi mtakuwa wa kazi za ndani, hamuwekewi akiba
 
Hili suala la watu kuandamana mpaka kibali kitoke jamani si ni haki ya kikatiba nilizani ni suala la kuwaarifu polisi ili waje toa ulinzi na wakiwa hawana tunajilinda wenyewe
 
Kuna tatizo kwenye unadamanaji wa Tanzania, siku ya kuandamana mie nafanya kazi ili nipate hata hela ya kunywa maji.
 
Umejaribu ku google jina langu kidogo; Godfrey Kassanga hebu jaribu uone unavyoaibika...
Alright, Big Fish, congratulations! You are secure already, you don't expect much benefit from the said demonstrations, even if they were to yield anything. Looks like you are way past the river bank!!
 
Upuuzi huu, nani alisema maandamano huleta tofauti yeyote Tanzania? Jikomboeni kwanza kutoka utumwa wa akili, mkaache woga wa kijinga na mkiisha kupata ujasiri nendeni mkaandamane. Kwa Tanzania hii, itapita miaka 200 hadi wananchi kudevelop moyo wa ujasiri na kuandamana kwa nia moja. Otherwise upuuzi tu huu, mi siandamani.

Kassanga.
Tabora.[/QUOTE

Mimi nimekuelewa vizuri sana, tena na Mimi nakusupport, maandamano makes sense pale tutakapojitokeza wote kwa pamoja, wafanyakazi wote tulioajiriwa na tumejiunga na mifuko ya jamii Kama NSSF, PPF, PSPF, etc. Yaandaliwe kwa ufasaha, na tujitokeze wote hapo ndio italeta maana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom