October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,145
- 2,023
Huyu baadhi ya taarifa anazotuambia ni za ukweli ila anazileta katika lugha ambayo ni ya kimzaha ili wengi wasiichukulie poa ila ana kitu.Hii habari pia nimeinyaka sehemu Wewe jamaa ni kweli una habari za ndani
Ni jambo gani?Hii habari pia nimeinyaka sehemu Wewe jamaa ni kweli una habari za ndani
huyu anakitu anakijua, hiyo Lugha anayotumia ni kupoteza maboya tuHuyu baadhi ya taarifa anazotuambia ni za ukweli ila anazileta katika lugha ambayo ni ya kimzaha ili wengi wasiichukulie poa ila ana kitu.
Sio kwamba hiyo sehemu wameitoa hiyo habari humu?Hii habari pia nimeinyaka sehemu Wewe jamaa ni kweli una habari za ndani