Kesho bidhaa kuuzwa nusu bei Mlimanicity

Kesho bidhaa kuuzwa nusu bei Mlimanicity

Ningemstua na mchepuko wangu lkn naogopa michepuko haitosheki. hata kama juisi inaexpaya kesho atangangania tununue box tano. ngoja aendelee kula maharage yake na kunde. Nyama atakula tukiwa wote bar.

Acha ubahili ndio maana mnapigiwa sana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nafika hapo jioni nichukue ile tv ya 70M kwa 35M

so sorry mkuu

hata mimi nilieingia saa moja nanusu na wamefungua saa nne nanusu sikukuta electronics usiulize zimeenda wapi

sad news kumbe wafanyaakazi jana walikuwa wamepewa nafasi ya kufanya shopping wakatuchia

maziwa ya kopo

mafuta ya oki

sabuni

na michele isiyo na wanga

loh nimecheka lakini nashukuru mzigo wa mpaka OCTOBER LABDA NIPATE MTOTO MWINGINE KATIKATI APUNGUZE BAJETI

CHA MUHIMU UKIFIKA HME ANZA KUANDIKA KIMOJA KIMOJA OLE WAKO UWE NA DUKA LA KARIBU HUKO KWENU KILA SIKU WATOTO WA KAZI WANAKARIIBIA NA KUULIZA KIMEUZWA NINI LEO NIONGEZE KINGINE

CHEZEA TOTO LA KAZI WEWE
 
Shoprite hakuna TV wala redio. ni mivyakula iliyo ekspaya tu. ununue ukale uvimbiwe upate kansa. Dogo hata TV unataka nusu bei ? hata mimi si ningezinunua zote halafu nikafungua duka.

kuna vyombo......, heaters, rice cookers, body drier pasi ndio nauliza navyo ni nusu bei
 
Tankbovu au tangi bovu kiongozi?
Kaka Pdidy yuko sahihi, neno sahihi ni tankibovu na si tangibovu. Waswahihi walishindwa kutamka neno tank wakaishia kutamka tangi. MMmmH tena nadhani tangi linatokana na. Mhehe hata neno asante wanasema asande. Hahaaaa. Watani zangu mpo
 
inabidi tfda,tbs na mkemia nkuu wapitie hizo bidha isijeikawa zimeexpire n.b dezo gharama

tfda waanze nayale masalia uliyokula yako chooni hii nchi tunalindwa na mungu chezea tfda wewe unafikiri awajaenda
 
hata muweke picha za kizushi sikati tamaa. Nampitia memsahp ofisini kkwake apitie atm makumbusho nasi tutie timu. Tunanunua mahitaji mpaka yamwezi wa kumi na moja.

kuna mmoja kakandia jana aji nimemuona leo kaleta famili ati anakusanya vitoto vinaangali mzigo


kama kawaida wazee wa mifukoni awakukosekana ilikuwa starehee kwa kweli mabibi wananunuua vitu vya laki wanalambwa simu ya laki moja na nusu lo tanzania wewee
 
1402662604622.jpg1402662604622.jpg1402662604622.jpg1402662604622.jpg
Asante pdidy kwa taarifa lakini imebidi nitoke he he watu too much nimeshindwaa..folen ta kulipa majanga yani full watu lo ntajaribu jpili!leo majanga

Kazikwelikwellj
 

Attachments

  • 1402662695063.jpg
    1402662695063.jpg
    49.2 KB · Views: 131
Kaka Pdidy yuko sahihi, neno sahihi ni tankibovu na si tangibovu. Waswahihi walishindwa kutamka neno tank wakaishia kutamka tangi. MMmmH tena nadhani tangi linatokana na. Mhehe hata neno asante wanasema asande. Hahaaaa. Watani zangu mpo

Tupo nd mwanafyale mwakalifti,,, vipi ulikuwepo kwenye uzinduzi wa lifuti?
 
eti nusu bei wakati original price hatuijui! Na pia tz hamna supermarket inayoitwa mlimani city! Hamna kitu kama icho in capitalist world hawakurupuki kama uswahilini!

nimeona sura kama yako mkuu

ulifanikiwa kutoka maana kuingia sio tatizo
 
tupo nd mwanafyale mwakalifti,,, vipi ulikuwepo kwenye uzinduzi wa lifuti?

wapo mlimani city wanakagua supermarket yeetu kama kuna takeaway ya yale mambo yetu

wooooh wooooohh woooooohhh

kamata shika thee thee jamani sijatoka mpaka sasa huku supermarket shuguli si kuingia kukusanya majaliwa kutoka loh

nimeona live matoroli yanatekelezwa njiani bana unauliza vipi wanasema ati wamekimbia kazini wanarudi

nkauliza huku mnacheza si kazini pia ....na wewe utoroke masaa mawili uje uone cha moto
watu wanakula na overtime humuhumu toka saa tatu usiku
 
Back
Top Bottom