Kesho bidhaa kuuzwa nusu bei Mlimanicity

Kesho bidhaa kuuzwa nusu bei Mlimanicity

Inabidi TFDA,TBS na mkemia nkuu wapitie hizo bidha isijeikawa zimeexpire N.B dezo gharama
NI ILESUPERMARKET YA MLIMANINCITY KESHO KUTAKUWA NA PUNGUZO LA BEI NA HILI NI KWA BIDHAA ZOTE SAA NNE ASBH

HABARI ZAIDI NI KWAMBA SUPERMARKET IMEUZWA KWA MMOJA YA MMILIKI WA supermarket MAARUFU AMBAE YUKO KENYA SO MAKUBALIANO NDANI YA SIKU SABA PASIWEPO NA CHOCHOTE JAMAA ANALETA VITU VYAKE

ANGALIZO
TUANGALIE EXP DTE

TUSIJEKUNYA DAMU NA VITU VYA BEI. RAHISI


KIZURI UNAKULA NA NDUGUYO NA WEWE NDUGUYANGU WA KARIBU

NAAMINI HATA KAMA NUSU MWAKA UJAWAHI KUNIELEWA LEO HII NA HII OFA YA NUSUBEI UTAWEZA HATA KUMJULISHA MWENZIO

NAWAKILISHA TUKUTANE PALE FISHFISH ATA UNIPE AHSANTE


KAMA

UKIWIWA TIGOPESA..VODAPESA TUNACHUKUA NAMBA NI ILEILE
 
Kuna supermarket inaitwa mliman city?au jengo ndio linaitwa hvy likiwa na wapangaji wenye supermarket tofaut tofaut hebu eleza vzr
 
Nimepata fununu hata GAME nayo nusu bei
hata zile Tv na ma FRIDGE ya bei mbaya plus ma camera na simu ni nusu bei. Ngoja nikawahi Xperia mpya kwa laki tano
 
Nimepata fununu hata GAME nayo nusu bei
hata zile Tv na ma FRIDGE ya bei mbaya plus ma camera na simu ni nusu bei. Ngoja nikawahi Xperia mpya kwa laki tano
Kweli kufanya biashara Tanzania inazidi kuwa ngumu, sasa kama mwekezaji analazimika kuuza vitu nusu bei hiyo si balaa!?
Kwa upande mwingine ni kama vile Mlimani city ni sehemu ya maonyesho (show room) zaidi ya kufanya biashara nadhani.

 
Heaven on Earth nakutumia m-pesa nifanyie shopping nitapitia kuchukua kesho!
 
Last edited by a moderator:
ICHANA beibe nipitiemo kesho twende ......
 
Last edited by a moderator:
kuna bonge la foleni kama kawaida ya bongo kupenda mteremko
 
wadau shoprite ya kamata nayo wauza nusu bei ama ni m cty tu?
 
ICHANA beibe nipitiemo kesho twende ......

ImageUploadedByJamiiForums1402657584.710233.jpg hali ilivyo kwa sasa mlimani city kama wanapewa bure vile
 
Last edited by a moderator:
Ningemstua na mchepuko wangu lkn naogopa michepuko haitosheki. hata kama juisi inaexpaya kesho atangangania tununue box tano. ngoja aendelee kula maharage yake na kunde. Nyama atakula tukiwa wote bar.
 
Back
Top Bottom