Kesho bidhaa kuuzwa nusu bei Mlimanicity

Kesho bidhaa kuuzwa nusu bei Mlimanicity

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,758
Reaction score
37,930
NI ILESUPERMARKET YA MLIMANINCITY KESHO KUTAKUWA NA PUNGUZO LA BEI NA HILI NI KWA BIDHAA ZOTE SAA NNE ASBH

HABARI ZAIDI NI KWAMBA SUPERMARKET IMEUZWA KWA MMOJA YA MMILIKI WA supermarket MAARUFU AMBAE YUKO KENYA SO MAKUBALIANO NDANI YA SIKU SABA PASIWEPO NA CHOCHOTE JAMAA ANALETA VITU VYAKE

ANGALIZO
TUANGALIE EXP DTE

TUSIJEKUNYA DAMU NA VITU VYA BEI. RAHISI

KIZURI UNAKULA NA NDUGUYO NA WEWE NDUGUYANGU WA KARIBU

NAAMINI HATA KAMA NUSU MWAKA UJAWAHI KUNIELEWA LEO HII NA HII OFA YA NUSUBEI UTAWEZA HATA KUMJULISHA MWENZIO

NAWAKILISHA TUKUTANE PALE FISHFISH ATA UNIPE AHSANTE

KAMA

UKIWIWA TIGOPESA..VODAPESA TUNACHUKUA NAMBA NI ILEILE
 
Mkuu Hizi Habari zina Ukweli?

Source:-
 
...its too good to be true...
 
Eti nusu bei wakati original price hatuijui! Na pia TZ hamna supermarket inayoitwa mlimani city! Hamna kitu kama icho in capitalist world hawakurupuki kama uswahilini!
 
Clouds FM walitangaza kuwa kuanzia kesho hadi Jumapili bei itakuwa 50%
 
Jamani sema basi kweli..si umemaanisha shoprite au..maana najua ananunuliwa na nakumatt..sema akianani hapa najiandaa niende kama kweli
 
Jamani sema basi kweli..si umemaanisha shoprite au..maana najua ananunuliwa na nakumema akianani hapa najiandaa niende kama kweli

Nimeshakuapia na mama ambae ayupo uamini

Basi akiaddada keshondiokesho
 
Eti nusu bei wakati original price hatuijui! Na pia TZ hamna supermarket inayoitwa mlimani city! Hamna kitu kama icho in capitalist world hawakurupuki kama uswahilini!

lakini ujuwe kitu kimoja tu Pdidy si mmiliki wa shoprite wala game alichokifanya ni kuhabarishana na member wengine wajazie nyama, huku kujuwa kwingi mbele giza.

sasa wewe umechangia nini cha maana hapa?
 
Eti nusu bei wakati original price hatuijui! Na pia TZ hamna supermarket inayoitwa mlimani city! Hamna kitu kama icho in capitalist world hawakurupuki kama uswahilini!

Sasaa na huyo aliesikia clouds Bado umwaminii

NGALIENI VINGINE MTAKOSA UFALME WA MUNGU KUNGANGANIA SRC SRC

NIMEULIZA YA TOMATO..CHILL SIJIBIWI A SIYA KESHO NAJUAA UNAANGALIA WC NA KULALA NANEUSIKU SIJUI ABH UTAAGAKE MAPEMA LOH
 
Wakilisha mpwa naona jama daraasani hatakudesa ilikuwabshuguli

Mkuu vipi tena!? Umerudia tena ule ugonjwa wa kuandika lugha tata?! Mbona kwenye issue ya mbasha mwandiko ulikuwa unasomekA aaa
 
Mkuu vipi tena!? Umerudia tena ule ugonjwa wa kuandika lugha tata?! Mbona kwenye issue ya mbasha mwandiko ulikuwa unasomekA aaa

Hahaaaa SRC

TOUCHSCREEN MKUU

NAONA NDIO SWALI LINALOFWATA LA LUGHA TATA
 
Pdidy mda huu upo mlimani? Nakuja
 
Last edited by a moderator:
Pdidy mda huu upo mlimani? Nakuja

Nimetokahapo NDIO NAPAKI HAPA TANKIBOVU NJOO NA LAMI KUN BAR INA ITWA TOPGAARAGE NI PM

ILA AINA PUNGUZO

LABDA SIKUYAMWISHO YA FINAL

THEETEGEEEKIDDIN
 
Last edited by a moderator:
Nimetokahapo NDIO NAPAKI HAPA TANKIBOVU NJOO NA LAMI KUN BAR INA ITWA TOPGAARAGE NI PM

ILA AINA PUNGUZO

LABDA SIKUYAMWISHO YA FINAL

THEETEGEEEKIDDIN

Tankbovu au tangi bovu kiongozi?
 
Back
Top Bottom