Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
hiyo folen hatari mbona
Tupo nd mwanafyale mwakalifti,,, vipi ulikuwepo kwenye uzinduzi wa lifuti?
Ningemstua na mchepuko wangu lkn naogopa michepuko haitosheki. hata kama juisi inaexpaya kesho atangangania tununue box tano. ngoja aendelee kula maharage yake na kunde. Nyama atakula tukiwa wote bar.
Wewe kiatu cha farasi huko sasa unakwenda mbali